Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

76' Mins | Kagera 2 - 1 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
45' Edward Christopher (Kagera)
65' Muzamiru Yassin (Simba)
 
Mbaraka Yusuph anatolewa nje baada ya kufanyiwa faulo mbovu na Juuko Murshid
 
Hivi kichuya,Mavugo hawako kwanii,Simba anakula Muhogo leo,Refaa Sogeza saa mbele mtanange uishe huo
 
81' Mins | Kagera 2 - 1 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
45' Edward Christopher (Kagera)
65' Muzamiru Yassin (Simba)
 
Back
Top Bottom