ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Hataki wang'are kama wakicheza na YangaBanda amefanya makosa 2 ambayo yote yanastahili red card lakini refa amejifanya kipofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hataki wang'are kama wakicheza na YangaBanda amefanya makosa 2 ambayo yote yanastahili red card lakini refa amejifanya kipofu
Wakicheza na Yanga huwa wanaloga sanaHataki wang'are kama wakicheza na Yanga
Duh kweli dunia hii haina usawa adui yako muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama ni shujaaSimba watapata la kusawazisha muda si mrefu. Dalili si Nzuri
Niko busy mkuu,nina mambo mengi sana yamenibana.Nilikuwa nakusubiri kwa hamu kubwa, kwani sio kwa utulivu huo.
Hayo yakwako2-2 vuta pumzi simba
Eti nini?2-2 vuta pumzi simba
Pumzi zimekata bado point zingine sita kanda hiyo hiyo lazima mziache2-2 vuta pumzi simba
Wanaweza sawazisha na kuongeza...76' Mins | Kagera 2 - 1 Simba
27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
45' Edward Christopher (Kagera)
65' Muzamiru Yassin (Simba)