Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

Dalili zinaonesha hili goli litarudi muda si mrefu
 
30' Mins | Kagera 1 - 0 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
 
Si kazi tulishamaliza Kaitaba tunasubiri dk.90 tu
 
Ee Mungu jalia simba wasirudishe goli,amen
 
33' Mins | Kagera 1 - 0 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
 
Ajibu na muzamiru wanaua timu. Uwanja mzima Simba Anameremeta. Sizonje na Bashite Wanameremetaa
 
37' Mins | Kagera 1 - 0 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
 
Simba kuweni na huruma.... Mtawaua mashabiki...

Poleni
 
Yanga tulipowapiga 4 hawa walizusha mengi sana. Wao leo wako na Makarai anawasumbua balaa.

Ila sina imani na Juma Kaseja
 
39' Mins | Kagera 1 - 0 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
 
41' Mins | Kagera 1 - 0 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…