Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Asanten Kagera ongezeni la 2 sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halirudi hili wajitahidi kuzuia la piliDalili zinaonesha hili goli litarudi muda si mrefu
Utasikia yanga imehonga wachezaji wa kagera waikomalie simba.33' Mins | Kagera 1 - 0 Simba
27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
Uchochezi huu, sentro mara moja [emoji35][emoji35][emoji35]Utasikia yanga imehonga wachezaji wa kagera waikomalie simba.
Mnyama ni mnyama tu, lini akawa na akili?