Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

Simba inang'ara ikicheza na yanga tena hasa wanapopigwa nyekundu. Ha ha ha
 
wasiwasi wa nini wakati simba anashinda tatu..we amini tu!
 
Hii mechi haitabiriki hawa mikia wanaweza rudisha. Mbaraka yusuph na kaseja wako chini wanaugulia maumivu.
 
45' Mins | Kagera 1 - 0 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)


2' Added Minutes
 
simba wa2lie.. hi game ya kwao.
 
George kavila yuko chini baada ya kufanyiwa adhabu na abdi banda.
 
HALF TIME | Kagera 1 - 0 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
 
Refa ataambiwa halafu akirudi atakuwa anamwangalia kwa macho manne
 
Haaaaa. Halafu muwa ulivyo mrefu. Mkia utapata shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…