Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha kwanza ndo kinataka kumalizika bado mbiliBado dk ngapi
Unasema kweli wwNaona Kagera Sugar wanaongoza kwa Goli! Dhidi ya Simba SC
Msife tu... Tunawajali bado.Hawa simba watantoa roho jamani washinde tu leo
Banda alistahili kadiGeorge kavila yuko chini baada ya kufanyiwa adhabu na abdi banda.
Yeah kampiga ngumi makusudiBanda alistahili kadi
Kweli tupuUnasema kweli ww