MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,363
Hapo mie sipo.....simba amekalia mua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mie sipo.....simba amekalia mua
Goli la 2 kwa Kagera muda huuAny updates
Simba mabwege tu hawaKagera Sugar 2 Simba Bashite
Wengine shughuli yetu ni hii. Una jingine?watu hamna shughuli za kufanya mpaka mnashabikia huu uozo unaoitwa soka la bongo?
Tuna refresh baada ya kazi ngumu kwa siku 5watu hamna shughuli za kufanya mpaka mnashabikia huu uozo unaoitwa soka la bongo?
Duh! neno zito sana hiliSimba mabwege tu hawa
Kuwa serious Mkuu...Kagera Sugar 2 Simba Bashite
safiii sanaa majimaji timu ya bomb nyombKutoka Songea.
Majimaji 3 - 1 Toto African
Wapuuzi hawa unaona ubingwa huo hapo unaenda kufungwa na Kagera? Timua benchi lote la ufundi majuha hawaDuh! neno zito sana hili