Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

Kunavuja huko kaitaba.....hali tia maji tia maji kwa wahapa hapa

Wao 2 - Simba zee 0
 
Wapuuzi hawa unaona ubingwa huo hapo unaenda kufungwa na Kagera? Timua benchi lote la ufundi majuha hawa
Waliambiwa wachague moja kitakachokuwa cha muhimu, kati ya kugomboa Nyasi bandarini na kupigania ubwingwa.
"Kupanga ni kuchagua" ngoja wabashitiwe vizuri.
Ngoja wakose vyote kabisa.
 
Kwa kiwango anachoonyesha Kaseja leo anastahili kuchezea Taifa Stars
 
56' Mins | Kagera 2 - 0 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
45' Edward Christopher (Kagera)
 
Back
Top Bottom