LOCAL SPONSOR
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 386
- 698
mbona kama utatusaidia sana kupambana na suala ya rushwa michezoni na pia upangaji wa matokeo.Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Sijakataa kiongozi la msingi haki itendeke tena mbna siku hizi teknolojia imekua sana Kuna Azam tv wanacd zote z michezo husika kama vipi wafanye marejesho ya hiyo michezo waangalie kama kweli alikua na kadi 3.Mtoa mada jaribu kuwa mwanamichezo, Unakumbuka simba waliwahi kupokwa point zaidi ya mara moja na hawa hawa kagera sugar wakafaidika? Hili jambo sio la ajabu na limeshatokea kwenye ligi hii hii
Wapambane waache kutegemea spoon feed,Kagera wamejipanga wametumia gharama zao kwa ajili ya kambi ya mazoezi leo unakuja kuwapoka pointi zao kirahisi tu,kama ni kweli kila mpenda soka akemee hiki kitu ni udhulumaji,pointi tamu ni zile za kuzitolea jasho dk 90 na sio pointi za kupewa chumbani
Yaani kumbe hata kanuni ya hizo kadi tatu za njano huijui hadi unataka uwekewe? Kumbe mtu unaweza ukawa unapoteza muda kujadiliana na watu 'wasio wa mpira'utafanya jambo la maana sana kama ukipost hizo kanuni humu ili na sisi tuzijue au ni wapi tunaweza kuzipata hizo kanuni.
Kama dai ni hilo sawa... Fa wataonyesha hizo kadi... Kuwa na usitoke povu.sawa watoto wadogo wanajua sijakataa sasa sijui watoto wadogo unaowazungumzia ni Neonate au infant utafafanua kidogo.
Kagera wanasema mchezaji wao anakadi mbili hiyo ya 3 katoa wapi na sijawahi kusikia Faki amecheza hata Ndondo cup
Kwahyo hata mchezaji kapata kadi za njano katika michezo ya ligi tofauti?Mbona hata watt wadogo wanajua kwamba mchezaji akiwa na kadi tatu za njano anatakiwa akose mchezo mmoja... Ina maana wewe hujui?
Weeeeeeee hawana jeuri hyo wakachukue cd azam? jiulize swali dogo tu kulikuwa na haja gani kukaa vikao mara mbili mbili? hawajui km azam kuna cd? narudia tena hawatothubutu kupitia cd za ule mchezo washapata point imetoka hyo!Umeongea pointi sana nafikiri azam wanacd zenye game zote kwann wasitumie hizo kama ushahidi?
Waache kuonea timu Ndogo kama kweli madai ya kagera sugar niya kweli na wasitake bingwa awe wanaomtaka wao mbona mpira unachezwa kweupe tu hakuna Sanduku la kura uwanjani useme ni siri
Maneno mengi ya nn wajameni? km kweli nyie vidume twendeni azam kuna cd ple tupitie tena ule mchezo tuone km kweli alipata kadi hili suala halihitaji kujifungia chumbani wala kuchukua muda mreeeefu km ilivyochukua vikao daily dawa ni cd tu za ule mchezo ila najua hamuwezi thubutu kuzungumzia suala la cd!Hivi hivi, Real Madrid iliondolewa kombe la mfalme, kwa kumchezesha mchezaji asiyestahili!
Mihemko yoooote hii, ni kutoka kwa MAKADA wa Dar Young African!!
Tuleteeni cd hatutaki maamuzi ya kujifungia chumbani!Mbona hata watt wadogo wanajua kwamba mchezaji akiwa na kadi tatu za njano anatakiwa akose mchezo mmoja... Ina maana wewe hujui?
Simba timu ya hovyo na ndio maana inapata pointi hovyo ili kuchukua ubingwa hovyo..by the way Manji kishatoka hospitalini?Mi najiuliza tu, hivi Simba wangekuwa wameshinda ile mechi wangeenda kuomba slop?
Simba ni timu ya hovyo kabisa.
Mkuu utakuwa unatokea zenjiYanga punguzeni povu sharia ni sharia lazma ifuatwe