Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba

Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba

Mtoa mada jaribu kuwa mwanamichezo, Unakumbuka simba waliwahi kupokwa point zaidi ya mara moja na hawa hawa kagera sugar wakafaidika? Hili jambo sio la ajabu na limeshatokea kwenye ligi hii hii
 
Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
mbona kama utatusaidia sana kupambana na suala ya rushwa michezoni na pia upangaji wa matokeo.

we tupe chanzo cha habari yako tu tuanze hapo,Kagera angekubali kufungwa abdi banda angempiga ngumi Kavila?

Yanga kakosa hela za kumpa chirwa si bora hata hizo million kumi angepewa yeye.

Na vipi yule kipa wa mbao fc alikula millioni ngapi?
 
Mtoa mada jaribu kuwa mwanamichezo, Unakumbuka simba waliwahi kupokwa point zaidi ya mara moja na hawa hawa kagera sugar wakafaidika? Hili jambo sio la ajabu na limeshatokea kwenye ligi hii hii
Sijakataa kiongozi la msingi haki itendeke tena mbna siku hizi teknolojia imekua sana Kuna Azam tv wanacd zote z michezo husika kama vipi wafanye marejesho ya hiyo michezo waangalie kama kweli alikua na kadi 3.
 
Wapambane waache kutegemea spoon feed,Kagera wamejipanga wametumia gharama zao kwa ajili ya kambi ya mazoezi leo unakuja kuwapoka pointi zao kirahisi tu,kama ni kweli kila mpenda soka akemee hiki kitu ni udhulumaji,pointi tamu ni zile za kuzitolea jasho dk 90 na sio pointi za kupewa chumbani

utafanya jambo la maana sana kama ukipost hizo kanuni humu ili na sisi tuzijue au ni wapi tunaweza kuzipata hizo kanuni.
Yaani kumbe hata kanuni ya hizo kadi tatu za njano huijui hadi unataka uwekewe? Kumbe mtu unaweza ukawa unapoteza muda kujadiliana na watu 'wasio wa mpira'
 
sawa sawa bwana [HASHTAG]#Faru[/HASHTAG] best solution kuliko ujadiliane na mtu ambaye hajui mpira haina haja we soma pita kimya kimya ukajadiliane na Jamhuri Kiwelu,Mzee msolla,Selemani matola...nk

Kagera Sugar wanasema mchezaji anakadi mbili hiyo ya 3 ni ipi?

Simple and clear naimani utakua kiongozi wa Simba hebu tupe hiyo kadi ya tatu aliipata mchezo upi huo?
 
sawa watoto wadogo wanajua sijakataa sasa sijui watoto wadogo unaowazungumzia ni Neonate au infant utafafanua kidogo.

Kagera wanasema mchezaji wao anakadi mbili hiyo ya 3 katoa wapi na sijawahi kusikia Faki amecheza hata Ndondo cup
Kama dai ni hilo sawa... Fa wataonyesha hizo kadi... Kuwa na usitoke povu.
 
Kagera waloshawai kuchukua point kwa simba mwaka 2006 kisa mgosi Leo kachukuliwa yeye yoweee mingiii........atulie tuu maana huu mchezo hauitaji jazbaaa yaheee...
 
Umeongea pointi sana nafikiri azam wanacd zenye game zote kwann wasitumie hizo kama ushahidi?

Waache kuonea timu Ndogo kama kweli madai ya kagera sugar niya kweli na wasitake bingwa awe wanaomtaka wao mbona mpira unachezwa kweupe tu hakuna Sanduku la kura uwanjani useme ni siri
Weeeeeeee hawana jeuri hyo wakachukue cd azam? jiulize swali dogo tu kulikuwa na haja gani kukaa vikao mara mbili mbili? hawajui km azam kuna cd? narudia tena hawatothubutu kupitia cd za ule mchezo washapata point imetoka hyo!
 
Hivi hivi, Real Madrid iliondolewa kombe la mfalme, kwa kumchezesha mchezaji asiyestahili!
Mihemko yoooote hii, ni kutoka kwa MAKADA wa Dar Young African!!
Maneno mengi ya nn wajameni? km kweli nyie vidume twendeni azam kuna cd ple tupitie tena ule mchezo tuone km kweli alipata kadi hili suala halihitaji kujifungia chumbani wala kuchukua muda mreeeefu km ilivyochukua vikao daily dawa ni cd tu za ule mchezo ila najua hamuwezi thubutu kuzungumzia suala la cd!
 
Hivi hadi hii pale TFF hakuna data base hadi tunasumbuana namna hii? Hizo pre match meeting huwa mnajadili nini? Mfano mngeongelea scenario hii kwenye prematch, leo hii tungesumbuana namna hii kweli?
 
Haya majamaa majinga kabisa...hakafu kuna kiongozi waxyanga naye jana anabubujikwa na uharo wa maneno eti kagera wameonewa...kwendaaaaaaa
 
Mi najiuliza tu, hivi Simba wangekuwa wameshinda ile mechi wangeenda kuomba slop?

Simba ni timu ya hovyo kabisa.
Simba timu ya hovyo na ndio maana inapata pointi hovyo ili kuchukua ubingwa hovyo..by the way Manji kishatoka hospitalini?
 
Hivi uamuzi wa TFF umefanywa bila kushirikisha pande zote? Kama pande zote zilishirikishwa, je, ushahidi was kadi tatu za njano ulikuwepo?
Sheria zingine mavi sana. Hivi kama ni mchezaji halali kadi za nini zimzuie.


Hahahahhhhh Kumbe Simba ilifungwa na kadi tatu za NJANO siyo Kagera Sukari

Hiiihiiihhh
 
Back
Top Bottom