Wa mezani fc
Ilifanyaje?Kwahyo suala la real Madrid mwaka Jana umelisahau au Madrid ni ya tukuyu
Waache ujinga wao mbona kadi zote tatu zimetajwa na mechi alizopewa huyo mchezaji. Nafikiri post ya 71 ndio inaukweli.Barua ya Kagera Sugar umeisoma na kuielewa? Wao wamesema wanajua kadi mbili na wametaja mechi husika. Kama wangekuwa wametaarifiwa zile kadi tatu zilikuwa kwenye mechi ipi na ipi nina uhakika barua yao ingebeba aina ya utetezi tofauti
Kiingereza mubasharyour correct but out of topic.
We ndio chizi kabisa. Kama spika wa bunge ametaka CDM wapeleke wagombea wawili kwa uwiano wa 1 ya 3 kwa kigezo cha jinsia, inashindikana nini TFF kufanya madudu madogo tu kama hayo?Hivi kwa akili tu za kawaida.Kagera hawakujua kuwa Fakhii alikuwa na kadi tatu? Hivi katika timu ya kegera mtu unashindwa kuelewa kuna viongozi wenye mapenzi na simba au Yanga? Hivi huwezi kufikiri taarifa za Fakhii zimetolewa na Kegera wenyewe? Hivi kamati kubwa ya ligi inaweza kupora timu point bila kuwa na ushahidi usio na shaka? Yanga jaribuni kujiongeza basi!
WASENGEnyaji kama wewe ndio mnaotufanya tupate ban kwa stori za KIKUMAzan kama hiziHabari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Ushindi wa mezani ndiyo chanzo cha kuporomoka kwa soka letuKagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba
Kweli kwa mbeleko hizi mpira wetu utaendelea?
Acheni bingwa apatikane kwa haki,na sio kwa mbeleko hizi.
Ina maana Kagera Sugar haruhusiwi kumfunga simba?Chezeni mpira acheni kutafuta njia za mkato kufikia ubingwa.
Alluta continua...
Unajua kupitia post hii JF wanaweza kuwapatia info zako PCCB ili ukafanikishe zoezi la ushahidi wa tuhuma ulizotaja hapo juu?Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Tabia ya kujifanya kipofu ili ubebwe kwa misaada ya watu huku ukiona gari imekulenga unakimbia siyo nzuri.Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba
Kweli kwa mbeleko hizi mpira wetu utaendelea?
Acheni bingwa apatikane kwa haki,na sio kwa mbeleko hizi.
Ina maana Kagera Sugar haruhusiwi kumfunga simba?Chezeni mpira acheni kutafuta njia za mkato kufikia ubingwa.
Alluta continua...
Mkuu unajua maana ya rufaa..?Mi najiuliza tu, hivi Simba wangekuwa wameshinda ile mechi wangeenda kuomba slop?
Simba ni timu ya hovyo kabisa.
Ulaya yatoke wapi? Hapa ni soka la ubabaishaji tu na mambo ya point za mezani huwezi yakuta ulaya! Na hili jambo limekuwa likijirudia rudia sana kwenye soka la bongo tatizo ni nini hasa?!!! Hata azamu nao walishindwa kuwa na records au kanuni ndio haziko wazi? Labda za FA na ligi kuu?Haya mambo sijawah kuyaskia ULAYA.
Hivi inawezekanaje mchezaji apangwe while ana matatizo ya kadi?Had tim inapokwa points?
Nani huwa anawajibika kwenye masuala ya recordings za mchezaji wa tim mwenye kado?Kocha?Mwenyekiti?Katibu?au MCHEZAJI MWENYEWE?
Mie sijawah kuskia hii whether UEFA au EPL,LA LIGA,SERIA A,LIGI 1
Mbona ulaya madrid walipokwa point, acheni kuvamia kambi ngumu mpira hamuufuatilii mnachojua ni bongo fleva records zilizoingia na kuchuja.Ulaya yatoke wapi? Hapa ni soka la ubabaishaji tu na mambo ya point za mezani huwezi yakuta ulaya! Na hili jambo limekuwa likijirudia rudia sana kwenye soka la bongo tatizo ni nini hasa?!!! Hata azamu nao walishindwa kuwa na records au kanuni ndio haziko wazi? Labda za FA na ligi kuu?
Uhakika huo umeutoa wapi mbona Una mbwelambwela Kama mkojo uliogoma kutoka umeambiwa kagera wana shida ya pesa..Acha zako za kimbwisiHabari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
...labda hao Gongo Wazi,Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Timu ya hovyo wakati inawajambia mdomoni magoli kila kukicha? Hata wakipokonywa hizo point za Kagera Sugar nani yupo kileleni mwa msimamo wa ligi VPL? ukishapata jibu hilo ndio uconclude ni timu ipi ya hovyo!!Mi najiuliza tu, hivi Simba wangekuwa wameshinda ile mechi wangeenda kuomba slop?
Simba ni timu ya hovyo kabisa.
Shauli hiyo sheria iliyowapa Simba haki ifutwe usiishie kulalamika ka mpuuzi flani tu.Wapambane waache kutegemea spoon feed,Kagera wamejipanga wametumia gharama zao kwa ajili ya kambi ya mazoezi leo unakuja kuwapoka pointi zao kirahisi tu,kama ni kweli kila mpenda soka akemee hiki kitu ni udhulumaji,pointi tamu ni zile za kuzitolea jasho dk 90 na sio pointi za kupewa chumbani