Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba



Umesahau kuorodhesha tukio ambalo TFF ilitengeneza Kanuni ya muda wa miezi kadhaa ili Ajibu aweze kuchagua Mechi alipo pata kadi 3 za njano....?

Ile kanuni ilitengenezwa siku chache kabla ya Mechi na ikafutwa miezi michache baadaye.
 
@mwambile hizo stori umezipata kijiwe gani cha kahawa!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…