Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Viongozi wa dini mkoani Kagera wamelaani na kukemea vikali kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lisu aliyoitoa akihamasisha uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wakiongea kwa nyakati tofauti viongozi hao wamesemakuwa wananchi wanatakiwa kupuuza na kutozifata kauli hizo kwani zinaashiria uvunjifu wa amani ambao unaweza kuiweka nchi kwenye machafuko.
Wameongeza kuwa pindi amani ya nchi itakapotoweka hakunajambo lolote litaweza kufanyika ambapo wamewataka wanasiasa kuacha mara moja kutoa kauli za uchochezi ambazo zinaweza kuleta madhara kwa Taifa.