PreGE2025 Kagera: Viongozi wa Dini wamtaka Tundu Lissu aache Uchochezi, walaani vikali kauli za kuamsha Uasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Viongozi wa dini mkoani Kagera wamelaani na kukemea vikali kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lisu aliyoitoa akihamasisha uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu ujao.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wakiongea kwa nyakati tofauti viongozi hao wamesemakuwa wananchi wanatakiwa kupuuza na kutozifata kauli hizo kwani zinaashiria uvunjifu wa amani ambao unaweza kuiweka nchi kwenye machafuko.

Wameongeza kuwa pindi amani ya nchi itakapotoweka hakunajambo lolote litaweza kufanyika ambapo wamewataka wanasiasa kuacha mara moja kutoa kauli za uchochezi ambazo zinaweza kuleta madhara kwa Taifa.

Your browser is not able to display this video.
 
Hivi hawa si waliambiwa wamshike sana elimu, kwa hiyo hii ndio elimu yao. Hadi aibu kuwa na watu kama hawa
wapi Lisu amesema ataleta uasi
Kumbukeni kwa Mungu wetu hakunaga unafiki, mtaumbuka asubuhi kweupe
 
Huyu unagundua tatizo ni hakupita shule na njaa inamsumbua.
 
Kwanini ni dini moja tu ndio inapigana na Lissu?
 
Kiongozi wa dini anashindwa kuongelea au kuhubiri haki(hawo ni viongozi dini njaa).
 
Huyo wa Makobasi na wa ESCROW wanataka nini?

Majinga sana, walishaambiwa na CCM WASICHANGANYE DINI NA SIASA.
 
Viongozi wa dini moja tafadhali
 
Njaa mbaya sana
 

Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Huyu hata kuisimamia familia yake kashindwa.
 
Sio viongozi wa dini ...sema wale wavaa kobazi...hawatakagi kusoma ..kazi porojo tu
Nani amsikilize huyu shuleless!
 
Viongozi wa dini mkoani Kagera wamelaani na kukemea vikali kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lisu aliyoitoa akihamasisha uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu ujao.

Mbona wameongea watu wawili tena tu...
 
Hahahahaha Hahahah sheikh mpuuzi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…