PreGE2025 Kagera: Viongozi wa Dini wamtaka Tundu Lissu aache Uchochezi, walaani vikali kauli za kuamsha Uasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Viongozi waliojitwisha vibandiko.Upuuzi sana.
 
tatizo ilimu dunia na ahera hakuna wakishajengewa misikiti basi
 
wanalaani wakati waumini wao wanamsapoti lisu.
 
Sheikh mwenye akili timamu nchi hii ni Sheikh Ponda tu.

Jumuiya ya Kiislam inayojitambua nchi hii ni Shura ya Maimam tu.

Hawa wengine ni wajasiliamali katika dini kama Wajasiliamali wengine tu.
 
Lissu na genge lake ni waasi.Wadhibitiwe mapema.CHADEMA imekuwa kama siyo chama Cha siasa
 
Kila mahari Kuna wahuni, hata huko pia wapo
 
Njaa kitu ingine
 
Hawa machawa tu
 
Shehe ubwabwa hahahaha😀😀😀😀
 
Kwanini msiwekeze Nguvu kwenye kuwaambia serikali wafanye reforms mbona simple tu lakini watu wakidai Haki zao mnasema uvunjifu wa Amani? Haki Haki Haki kama sisi ni ndugu watu wasingeuliwa kwaajili ya uchaguzi watu wasingetekana kwaajili ya kupishana kauli
 
WAkae huko huko msikitini wasilete puwa zao huku duniani,wanataka kumuuzia nani woga?
Kuna nyumbu wenzako wa Chadema eti wanasubiri Waraka wa Kanisa Katoliki siku ya Pasaka. Nao unawasemaje? Hao mapadre wasilete pia zao huku duniani wakae altareni huko? Ahahahahaha!!!
 
Kumbe unaongelea hawa chawa! Bi Mkubwa angekuwa mgalatia, wangekuja na lugha za unonihino hauruhusu mwanamke kutawala. Wasenziii kweli kweli
 
Huu ndo uchawa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…