PreGE2025 Kagera: Viongozi wa Dini wamtaka Tundu Lissu aache Uchochezi, walaani vikali kauli za kuamsha Uasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni wapuuzi na wapumbavu na Mungu hayuko pamoja nao wanajiendea tu.
 
Lini walikemea mauji ya wagombea wa upinzani kwenye hizi chaguzi za mchongo?
 
Hizi ndio athari za "michango" ya Samia Kwa makanisa na viongozi wa BAKWATA mikoani wamekuwa machawa kuliko Mwijaku na Dotto Magarii 😡
 
Ni kichaa peke yake ndio anaweza kuasi huku akijua kabisa hana bunduki, hana upanga, wala zana zozote za kivita huku akijua fika kwamba upande wapili wana zana zote za kivita.
Chadema sio vichaa ila tu wanawekewa tafsiri za mchongo vinywani mwao.
Wengine wanaoweza kuhasi wakijua hawana zana za kivita nadahani ni wale wasabato masalia maana wale sijui kama zimo zote. wale wanaweza wakaasi
 

Ni nani anawapa uongozi watu wanafiki kiasi hiki? Kama laiti wangekuwa na Roho wa Mungu wangesisitiza zaidi kujenga mazingira ya haki kwenye uchaguzi ili kuwa na amani isiyo na mashaka.

Mungu wetu ni Mungu wa haki. Mtu anayejiita ni kiongozi wa dini lakini anapalilia na kuunga mkono dhuluma, huyo ni kiongozi wa dini ya shetani.
 
ustadhi ubwabwa askofu ubwabwa swali langu ni je Amani iondoshe haki? acheni zenu mbana bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…