Uchaguzi 2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

Kama unaona wivu na wewe nenda kapigwe mimba.

Gwajima kacheza picha za ngono haujapost...au kwa vile yupo ccm...tuwekee na post ya porn star akila mwanakondoo wake
 
Yaan ,nimecheka sanaaaa!!Sehemu ambayoLissu anapata mapokezi mazuri ,tayari .Lissu for President. Naona Kigoma kimya,Geita hatukuona hats picha.Nafikiri tutumie hakiri tu.Amepata mapokezi makubwa mikoa mingapi?Kati ya 26?
We endelea tu kutumia hiyo hakiri mpaka ushindwe kutembea
 
Hapo wengi wameenda tu kuongeza idadi ya vichwa mkutanoni.
 
Kinachokosekana ni nini?.Ukiniambia uwezo wakufikiri nitakubaliana na wewe.lakini pia nitakuuliza ni nani wamesababisha tuwe hivyo.Ila pia nikukumbushe hiyo miaka 50 unayosema ndo hii ya zama hizi sio zaidi ya hapo.kwahiyo usianze kuhesabu moja kuitafuta hiyo 50 yako Ccm ishafika jioni.kama sio leo basi kesho.
Naona muna farijiana hapo.
Tanzania, upinzani bado haujawa na nguvu hiyo munayo aminishana.
Itachukua miaka 50 kuitoa CCM madarakani.
 
Yaan ,nimecheka sanaaaa!!Sehemu ambayoLissu anapata mapokezi mazuri ,tayari .Lissu for President. Naona Kigoma kimya,Geita hatukuona hats picha.Nafikiri tutumie hakiri tu.Amepata mapokezi makubwa mikoa mingapi?Kati ya 26?
Wewe muhamiaji haramu lazima utetee CCM..Lissu anakuja Bongo sio shamba la bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…