Kagere afukuzwe Tanzania

Aisee mi sio kocha ila kocha wa singida kuna vitu alikosea, kuna yule jamaa aliyetaka kumtia vitasa refa sijui waziri wakati anaenda kupiga penalty Kuna jamaa nilimwambia huyu kashapanic lazima atakosa ndo ikawa ivo ivo..... Alivyokuja kagere ndo kwanza nikaamka nikacheka nikasema huyu ni familia hawezi wasaliti wazazi wake
 
Shibobu pia afukuzwe nchini.
Na Yanga pia ifukuzwe nchini.
 
alifanyaje ?
 
Sidhani kama ni sahihi kutoa adhabu Kali kiasi hicho. Ni kweli alichofanya ukiunganisha na historia yàke unaweza kumhukumu Kwa Hilo. Lakini;
1.Singida wanatakiwa kujiridhisha na haya unayosema kabla ya kutoa adhabu.
2.Wachezaji wakati mwingine huchukua maamuzi ya kufanya kitu kipya kikifeli kinawagharimu.
 
Kagere na penati wapi na wapi, miguu yake ile imekaa kama ya bata mzinga...
 
Kuna mtu kapigwa za uso hapa
 
Hiyo mifano mitatu ndiyo ithibitishe Kagere hajui kupiga penalt? Tupe records zake za penalt misimu yote akiwa Tz tuone kakosa ngapi na kapata ngapi ili tujithibitishie
 
Uwe na akili hakuna aliyesema kosa tunasema kala rushwa
Hivi hapo rushwa aliikula sangapi jamani? Maana Penalt nani alijua atapiga kagere? Japo sijui alifanya nn lakn nami nilishangaa... [emoji23]
 
Mtoto wa Mbowe una akili za kimakalio sana
 
kennedy juma afanywe nini?maana nae aliwazawadia ndugu zake goli.....

Tatizo uto hamna akilo kenge nyie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba iko final.
Tesekeni taratibuu eeeh.
 


View: https://m.youtube.com/watch?v=QnR-UgzPQKM&pp=ygUiWWFuZ2EgNC0zIHNpbWJhIG1hcGluZHV6aSBjdXAgMjAyMQ%3D%3D
 
Sindida ni ka timu kadogo sana, ni ka timu kanakokamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…