Kagere afukuzwe Tanzania

Wewe sio Simba,tunakujua
 
Kennedy Juma pia aliizawadia Singida bao la bure sababu ni waajiri wake wa zamani au sio??so nae tumfukuze??
 
Ni accident yankisakolojia imemkumba yaweza kumtokea mtu yoyote.haana kosa
Iliweza kumtokea Roberto Baggio fainali ya World Cup,ikamtokea John Terry Finali ya UCL eti iwe ajabu kwa mnyarwanda mmoja kwenye Bonanza la kisiasa Zanzibar?watu wamejaa upumbavu mpaka kwenye kope aisee
 
Mbona kama vitaa?? Nyie vyura si hamkuyataka mashindano??
Je ile penalt ya shibobo juzi wa APR alivyopiga alitaka wale malandege washinde???
 
Messi na CR7 hawajawahi kukosa penati? Kama jibu ni ndio mbona hawajawahi kutimuliwa Ulaya.
 
Mnaongozwa na raia wa Oman Kila siku anagawa rasilimali kwa ndugu zake mmeshindwa kumfukuza halafu mnataka kumwonea kagere.
 
Kagera hakukosa penati kwa sababu ya habari za familia ya Simba bali nimeangalia video clip mara kadhaa mpira haukujaa vizuri mguuni.

Msimchongamishe na waajiri wake Singida FG mnamuharibia ajira yake kwa uzushi usio na maana.
 

Engineer ameenda na maji ya Mwamposa mambo yamekuwa shaghalabaghala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…