Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kala rushwa ila hatuna ushahidi alipokeaje hayo maokoto ya rushwa ๐๐tunasema kala rushwa
TZ SIHAMI ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kala rushwa ila hatuna ushahidi alipokeaje hayo maokoto ya rushwa ๐๐tunasema kala rushwa
Wewe sio Simba,tunakujuaNi kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.
Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere, tunapenda Ushindi wa haki.
Tukiruhusu huu ujinga tutadumaza soka la Tanzania.
Vipi Kennedy?Ni aibu
Umekosea mkuuVipi Kennedy?
Kennedy Juma pia aliizawadia Singida bao la bure sababu ni waajiri wake wa zamani au sio??so nae tumfukuze??Ni kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.
Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere, tunapenda Ushindi wa haki.
Tukiruhusu huu ujinga tutadumaza soka la Tanzania.
Iliweza kumtokea Roberto Baggio fainali ya World Cup,ikamtokea John Terry Finali ya UCL eti iwe ajabu kwa mnyarwanda mmoja kwenye Bonanza la kisiasa Zanzibar?watu wamejaa upumbavu mpaka kwenye kope aiseeNi accident yankisakolojia imemkumba yaweza kumtokea mtu yoyote.haana kosa
Messi na CR7 hawajawahi kukosa penati? Kama jibu ni ndio mbona hawajawahi kutimuliwa Ulaya.Ni kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.
Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere, tunapenda Ushindi wa haki.
Tukiruhusu huu ujinga tutadumaza soka la Tanzania.
Kagera hakukosa penati kwa sababu ya habari za familia ya Simba bali nimeangalia video clip mara kadhaa mpira haukujaa vizuri mguuni.Aisee mi sio kocha ila kocha wa singida kuna vitu alikosea, kuna yule jamaa aliyetaka kumtia vitasa refa sijui waziri wakati anaenda kupiga penalty Kuna jamaa nilimwambia huyu kashapanic lazima atakosa ndo ikawa ivo ivo..... Alivyokuja kagere ndo kwanza nikaamka nikacheka nikasema huyu ni familia hawezi wasaliti wazazi wake
Ni kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.
Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere, tunapenda Ushindi wa haki.
Tukiruhusu huu ujinga tutadumaza soka la Tanzania.
Na Kennedy vipiUwe na akili hakuna aliyesema kosa tunasema kala rushwa