Kagere afukuzwe Tanzania

Kagere afukuzwe Tanzania

Ni kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.

Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere, tunapenda Ushindi wa haki.

Tukiruhusu huu ujinga tutadumaza soka la Tanzania.
Wewe sio Simba,tunakujua
 
Kennedy Juma pia aliizawadia Singida bao la bure sababu ni waajiri wake wa zamani au sio??so nae tumfukuze??
 
Ni accident yankisakolojia imemkumba yaweza kumtokea mtu yoyote.haana kosa
Iliweza kumtokea Roberto Baggio fainali ya World Cup,ikamtokea John Terry Finali ya UCL eti iwe ajabu kwa mnyarwanda mmoja kwenye Bonanza la kisiasa Zanzibar?watu wamejaa upumbavu mpaka kwenye kope aisee
 
Mbona kama vitaa?? Nyie vyura si hamkuyataka mashindano??
Je ile penalt ya shibobo juzi wa APR alivyopiga alitaka wale malandege washinde???
 
Ni kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.

Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere, tunapenda Ushindi wa haki.

Tukiruhusu huu ujinga tutadumaza soka la Tanzania.
Messi na CR7 hawajawahi kukosa penati? Kama jibu ni ndio mbona hawajawahi kutimuliwa Ulaya.
 
Mnaongozwa na raia wa Oman Kila siku anagawa rasilimali kwa ndugu zake mmeshindwa kumfukuza halafu mnataka kumwonea kagere.
 
Aisee mi sio kocha ila kocha wa singida kuna vitu alikosea, kuna yule jamaa aliyetaka kumtia vitasa refa sijui waziri wakati anaenda kupiga penalty Kuna jamaa nilimwambia huyu kashapanic lazima atakosa ndo ikawa ivo ivo..... Alivyokuja kagere ndo kwanza nikaamka nikacheka nikasema huyu ni familia hawezi wasaliti wazazi wake
Kagera hakukosa penati kwa sababu ya habari za familia ya Simba bali nimeangalia video clip mara kadhaa mpira haukujaa vizuri mguuni.

Msimchongamishe na waajiri wake Singida FG mnamuharibia ajira yake kwa uzushi usio na maana.
 
Ni kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.

Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere, tunapenda Ushindi wa haki.

Tukiruhusu huu ujinga tutadumaza soka la Tanzania.

Engineer ameenda na maji ya Mwamposa mambo yamekuwa shaghalabaghala
 
Back
Top Bottom