OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Chura churani hawapendi kuona hiliMaana yake ni hii VYURA walipokosa kumpata walimponda nakumwita majina kem kem ,SSC wenzao waliiona LULU na sasa wana tamba hicho kijicho walichonacho VYURA Haihitaji macho mawili kujua thamani y MEDIE (AHMED) KAGERE Na baaado watapata TAAABUU SSSAAANNAAA
Sent using Jamii Forums mobile app