Kagere "Jicho moja" lachanganya mashabiki

Kagere "Jicho moja" lachanganya mashabiki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Style ya kushangilia ya mshambuliaji hatari Afrika Mashariki na Kati Meddie Kagere MK 14 imekuwa gumza ndani na nje ya Tanzania.

Akiulizwa na mwanahabari maan a ya kuminya jicho moja Kagere amesema waulizwe mashabiki wa Simba.

Huku watumiaji wa mitandao ya kijamii wakipost picha zao huku wakiwa wamefunika jicho moja,mashabiki wa Simba wamekuwa wakitofaitiana maana ya kuminya jicho 1.

Mashabiki wa Yanga wameanzisha ushuzi kuwa pengine Meddie ni mfuasi wa Freemasonry

Je,wewe mwanaJF unaelewa maana ya style ile?
 
Maana yake ni hii VYURA walipokosa kumpata walimponda nakumwita majina kem kem ,SSC wenzao waliiona LULU na sasa wana tamba hicho kijicho walichonacho VYURA Haihitaji macho mawili kujua thamani y MEDIE (AHMED) KAGERE Na baaado watapata TAAABUU SSSAAANNAAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili za wabongo neno Jicho huwaza Mkunduu.

Kagere kuziba jicho moja. Nakuacha moj....ni kuonyesha kua ana concentrate sana akili yake ktk ufunguaji na pia ana kuchungulia kwa umakin sana .

Nani asomjua watu wenyr jicho moja huongeza kazi nyingine ya ziada ila wasijihisi kupoteza?

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Back
Top Bottom