OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Style ya kushangilia ya mshambuliaji hatari Afrika Mashariki na Kati Meddie Kagere MK 14 imekuwa gumza ndani na nje ya Tanzania.
Akiulizwa na mwanahabari maan a ya kuminya jicho moja Kagere amesema waulizwe mashabiki wa Simba.
Huku watumiaji wa mitandao ya kijamii wakipost picha zao huku wakiwa wamefunika jicho moja,mashabiki wa Simba wamekuwa wakitofaitiana maana ya kuminya jicho 1.
Mashabiki wa Yanga wameanzisha ushuzi kuwa pengine Meddie ni mfuasi wa Freemasonry
Je,wewe mwanaJF unaelewa maana ya style ile?