Kagere vs Mayele: Yupi ni bora zaidi?

Sasa Kagere nadhani goal la penalty msimu huu ni kombe la Mapinduzi tu
 
Watu hawataki kipengele cha minutes per goal kitiliwe maanani.
 
Hivi hizi akili mnazitoaga wapi,sasa Mayele approve vipi misimu miwili iliyopita ambayo hakuwepo?
ndo maana tunasema utopolo hamnazo kichwani, sasa kama ni hivyo kwa nini unfananishe na kagere mwenye mafanikio makubwa kwa misimu yote iliyopita na huyo anayechipukia? mnauliza maswali mabovu tukiwapa majibu rahisi tu mnakimbilia kujitetea et hakuwepo misimu iliyopita aliyekwamvia umfananishe na mchezaji mwenye mafanikio toka misimu lilyopita nani?
 
Angalia dakika alizocheza kagere na idadi ya magoli aliyonayo na dakika za mayele na magoli aliyo nayo kagere kama ana pata mda wa kucheza basi angekuwa kamuacha mbali mayele 11–7=4 goli chache sana hzo kwa kagere.
 
Ishu sio kufunga tu, timu inapobanwa unaweza kuamua matokeo ww kama mshambuliaji??
MAYELE yuko mbali mno, na ni ujinga kumlinganisha na KAGERE.
Hata Kagere awe kwenye umri wa miaka 25 bado tumemuona sio hatari anapokuwa na mpira na mbele ana beki 2.
Eti Mayele yuko mbali mno kwa takwimu zipi? Au kimihemko tu. Yaani mchezaji anamzidi goli moja anaemfuatia mnamuona hatari mno . Ligi hii hii Kagere ashachukua kiatu mara 2 au zaidi na Mayele ndio anakitafuta akiwa amefunga magoli 11 mechi 19 na bila assisst halafu mnamuona hatari mno. Mnashangaza.
 
Mayele ana magoli 12 mzee, afu Mayele anazo assist mzee, unakumbuka ile game ya Polisi kule Arusha??
 
Mayele ana magoli 12 mzee
Hata kama ana 12 lakini ukweli ni kuwa anakitafuta kiatu ambacho huyo ambae unasema ameachwa mbali mno tayari ashakichukua zaidi ya mara 1. Pia uhatari wa huyo Mayele ni nini maana anaemfutia anazidiwa goli 2 tu na mnamuona wa kawaida.
 
Kk Mayele ana misimu mingapi hapa TZ??
 
Sasa Kagere nadhani goal la penalty msimu huu ni kombe la Mapinduzi tu
Nenda kaangalie mechi ya Simba dhidi ya dodoma na mechi ya Simba dhidi ya Prisons halafu uje uniambie zile penati alizofunga kagere kwenye hizo mechi ilikuwa ni mapinduzi?
 
Mimi naamini Kagere ni mzuri. Lkn aina ya magori na mazingirai anayofunga Mayele ni shahidi kuwa yeye ni wa kipekee kabisa. Asifananishwe hapa bongo
 
Nenda kaangalie mechi ya Simba dhidi ya dodoma na mechi ya Simba dhidi ya Prisons halafu uje uniambie zile penati alizofunga kagere kwenye hizo mechi ilikuwa ni mapinduzi?
Goal la penalty ligi kuu Kagere ni moja. Mechi ya Prisons
 
haha tutole takwimu feki.
mayele goals 11 assist 3 na magoli 3 ya tik taka wakati kagere ana goli 4 na penati 3.
 
hivi unapata wapi uthubutu wa kumfananisha Mayele na Kagele?? Ni burudani sana kumcheki Fiston akicheza! Kagele hata kukokota mpira hatua 2 hawezi, huenda alikuwa mzuri ila sio sasa!
 
Angalia dakika alizocheza kagere na idadi ya magoli aliyonayo na dakika za mayele na magoli aliyo nayo kagere kama ana pata mda wa kucheza basi angekuwa kamuacha mbali mayele 11–7=4 goli chache sana hzo kwa kagere.
😬😬😬 Mashabiki wa simba bhana! Sasa kucheza kwa dakika chache kwa huyo Kagere si kumetokana na kushuka kwa kiwango chake msimu huu!

Unadhani kama angekuwa katika kiwango chake bora cha misimu miwili iliyopita, angekaa benchi? Wakati fulani muwe mnakubali ukweli. Siyo kila kitu ni kupinga tu.

Siku zote mfungaji bora ni yule mwenye magoli mengi! Na siyo yule sijui amecheza dakika chache, angecheza dakika nyingi kama fulani, basi angekuwa amemuacha mbali....! 😬😬
 
Ukishajua idadi ya mechi wamecheza, wastani wa goli kwa mechi au dakika, assists walizotoa, magoli muhimu waliyofunga vyote hivyo vitakupa kujua yupi ni bora
 
Kagere ni Bora sana tu kuliko mayele kwa sababu kagere kaprove kuwa mfungaji bora wa ligi mara mbili na mwaka huu bado anafukuzia.. mayele hajawahi fanya hivyo
Hizo mara alizoprove Kagere, Mayele alikuwepo?

Comparison ifanyike kwa msimu huu tu. So far, Kagere katimuliwa vumbi kali
 
mayele yupo vizur ,ana vi2 vingi kamzid kagere kama mshambuliaj.. mayele anakup magoli ,anaweza kucheza kutokea kulia ama kushoto.. link-up na wachezaj wenzake yuko bora zaid pia ni mwepes n ana kasi sna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…