Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Mtaalam kukaa bench Barcelona ni bora kuliko kuwa Captain MlandegeTeh teh sasa mchezaji anaepata nafasi kwenye first eleven na anaekaa benchi yupi mwenye kiwango cha juu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaalam kukaa bench Barcelona ni bora kuliko kuwa Captain MlandegeTeh teh sasa mchezaji anaepata nafasi kwenye first eleven na anaekaa benchi yupi mwenye kiwango cha juu?
Soma uelewe kwanza nini kilichofanya Kagere asiwe kwenye kikosi cha mara kwa mara cha kikosi cha kwanza kama sio kushuka kiwango? Kuhusu kupitwa magoli machache ni sawa ni machache lakini unaweza kuniambia katika magoli 7 ya kagere kuna penati ngapi wakati magoli yote ya Mayele hakuna penati hata moja
ndo maana tunasema utopolo hamnazo kichwani, sasa kama ni hivyo kwa nini unfananishe na kagere mwenye mafanikio makubwa kwa misimu yote iliyopita na huyo anayechipukia? mnauliza maswali mabovu tukiwapa majibu rahisi tu mnakimbilia kujitetea et hakuwepo misimu iliyopita aliyekwamvia umfananishe na mchezaji mwenye mafanikio toka misimu lilyopita nani?Hivi hizi akili mnazitoaga wapi,sasa Mayele approve vipi misimu miwili iliyopita ambayo hakuwepo?
Eti Mayele yuko mbali mno kwa takwimu zipi? Au kimihemko tu. Yaani mchezaji anamzidi goli moja anaemfuatia mnamuona hatari mno . Ligi hii hii Kagere ashachukua kiatu mara 2 au zaidi na Mayele ndio anakitafuta akiwa amefunga magoli 11 mechi 19 na bila assisst halafu mnamuona hatari mno. Mnashangaza.Ishu sio kufunga tu, timu inapobanwa unaweza kuamua matokeo ww kama mshambuliaji??
MAYELE yuko mbali mno, na ni ujinga kumlinganisha na KAGERE.
Hata Kagere awe kwenye umri wa miaka 25 bado tumemuona sio hatari anapokuwa na mpira na mbele ana beki 2.
Mayele ana magoli 12 mzee, afu Mayele anazo assist mzee, unakumbuka ile game ya Polisi kule Arusha??Eti Mayele yuko mbali mno kwa takwimu zipi? Au kimihemko tu. Yaani mchezaji anamzidi goli moja anaemfuatia mnamuona hatari mno . Ligi hii hii Kagere ashachukua kiatu mara 2 au zaidi na Mayele ndio anakitafuta akiwa amefunga magoli 11 mechi 19 na bila assisst halafu mnamuona hatari mno. Mnashangaza.
Hata kama ana 12 lakini ukweli ni kuwa anakitafuta kiatu ambacho huyo ambae unasema ameachwa mbali mno tayari ashakichukua zaidi ya mara 1. Pia uhatari wa huyo Mayele ni nini maana anaemfutia anazidiwa goli 2 tu na mnamuona wa kawaida.Mayele ana magoli 12 mzee
Kk Mayele ana misimu mingapi hapa TZ??Hata kama ana 12 lakini ukweli ni kuwa anakitafuta kiatu ambacho huyo ambae unasema ameachwa mbali mno tayari ashakichukua zaidi ya mara 1. Pia uhatari wa huyo Mayele ni nini maana anaemfutia anazidiwa goli 2 tu na mnamuona wa kawaida.
Mmoja, Je ana utofauti gani na msimu wa kwanza wa Kagere kwenye ligi hii?Kk Mayele ana misimu mingapi hapa TZ??
Nenda kaangalie mechi ya Simba dhidi ya dodoma na mechi ya Simba dhidi ya Prisons halafu uje uniambie zile penati alizofunga kagere kwenye hizo mechi ilikuwa ni mapinduzi?Sasa Kagere nadhani goal la penalty msimu huu ni kombe la Mapinduzi tu
Goal la penalty ligi kuu Kagere ni moja. Mechi ya PrisonsNenda kaangalie mechi ya Simba dhidi ya dodoma na mechi ya Simba dhidi ya Prisons halafu uje uniambie zile penati alizofunga kagere kwenye hizo mechi ilikuwa ni mapinduzi?
haha tutole takwimu feki.Eti Mayele yuko mbali mno kwa takwimu zipi? Au kimihemko tu. Yaani mchezaji anamzidi goli moja anaemfuatia mnamuona hatari mno . Ligi hii hii Kagere ashachukua kiatu mara 2 au zaidi na Mayele ndio anakitafuta akiwa amefunga magoli 11 mechi 19 na bila assisst halafu mnamuona hatari mno. Mnashangaza.
😬😬😬 Mashabiki wa simba bhana! Sasa kucheza kwa dakika chache kwa huyo Kagere si kumetokana na kushuka kwa kiwango chake msimu huu!Angalia dakika alizocheza kagere na idadi ya magoli aliyonayo na dakika za mayele na magoli aliyo nayo kagere kama ana pata mda wa kucheza basi angekuwa kamuacha mbali mayele 11–7=4 goli chache sana hzo kwa kagere.
Hizo mara alizoprove Kagere, Mayele alikuwepo?Kagere ni Bora sana tu kuliko mayele kwa sababu kagere kaprove kuwa mfungaji bora wa ligi mara mbili na mwaka huu bado anafukuzia.. mayele hajawahi fanya hivyo