Kagere vs Mayele: Yupi ni bora zaidi?

Nazani wengi watajibu kishabiki Bila kufata uhalisia wa mchezaji timu na aina yake.... Kuna Mambo kadhaa yanamfanya mchezaji kuonekana Ni Bora kuliko mwenzio....

1: Number
Hapa tunazungumzia Namba za Hao wachezaji ambazo wanazitumikia katika timu zao tukiwatazama Mayele na kagere wote wanacheza Namba moja kwenye timu zao

2: Statistics
Hapa tutawapima kwa kipindi hiki ambacho wote wamecheza Nbc premier league ambapo kagere kafunga Goli 7 tu wakat Mayele Goli 11 na assist 3

Mpka hapa Sina la kuendelea straika Bora Ni Mayele bhana Nbc premier league nikiendelea kuchambua tutachambua Michele apa[emoji23]
 
Mechi ya Polisi huyu babu Kagere hajacheza?
 
Kuna watu walikuwa wanaamini kuwa Kagere angekuwa anachezeshwa kikosi cha kwanza angekuwa anatupia kila mechi kisa tu kacheza dakika chache lakini kafunga goli 7. Ikumbukwe tu kuwa leo Kagere amechezeshwa leo na hakuna hata goli la offside alilofunga.

Pablo kutompanga mara kwa mara sio kwasababu ya kufanya rotation bali hana straika wa maana pale Simba hivyo anachokifanya ni kujaribu jaribu tu
 
mbwa nyie mpira ni kitu ambacho kirahisi sana kukijaji,,,,hasa upande wa mastraiker...

Zilete takwimu hapa kila mmoja kacheza mechi ngapi msimu huu na ana magoli mangapi then tuna calculate goal per minutes kwa kila mmoja kazi imekwisha.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] naona wanakikwepa tu...hakuna ambae amekubali kiletwe hapa.
Kinachofanywa kagere asipangwe mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza ni kipi? Mchezaji mzuri hakalishwi benchi. Angekuwa ni mzuri Pablo asingefikia kucheza mechi bila ya kuwa straika yeyote mbele, sio boko sio Mugalu wala Kagere kisa tu ubutu wa safu yake ya unaliziaji.
Angekuwa mzuri tysingeona nyuzi za wanasimba juu ya wachezaji wakuachwa msimu ujao lakini hakuna aliyetoa list ya kuachwa mchezaji akakosa kumuweka Kagere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…