Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] naona wanakikwepa tu...hakuna ambae amekubali kiletwe hapa.Watu hawataki kipengele cha minutes per goal kitiliwe maanani.
Kinachofanywa kagere asipangwe mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza ni kipi? Mchezaji mzuri hakalishwi benchi. Angekuwa ni mzuri Pablo asingefikia kucheza mechi bila ya kuwa straika yeyote mbele, sio boko sio Mugalu wala Kagere kisa tu ubutu wa safu yake ya unaliziaji.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] naona wanakikwepa tu...hakuna ambae amekubali kiletwe hapa.