doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,706
- 2,861
Peoples power yaja soon watatfuta pa kwenda!!!
Siku hiyo lazima tuzibiti viwanja vya ndege na barabara ili wasikimbie wezi hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peoples power yaja soon watatfuta pa kwenda!!!
Lini mkuu? Maana kila siku yaja!
Lini mkuu? Maana kila siku yaja!
Hivi hawa watu kwa nini serikali inawaogopa kiasi hiki watu wanatudhulumu mali yetu hivi ni kwa nini lakini??????
This is a bit telling us, day follows night.Hii habari ata watoto wa Kindergarten wanajua.John Kato(William Kemhondo) na Francis William(Baraka Goda) -kwenye mabano ni majina bandia. Kato + Goda= Kagoda (blended name). KAGODA ndio iliyo iba pesa nyingi zaidi za EPA lakini hadi sasa ni visisimizi ndio vilivyokamatwa na Tembo wakiachwa wakijitanua mwituni.
RA Ana kampuni 17 lakini hata moja haina jina lake!