Kagoda: Ni Rostam

Kagoda: Ni Rostam

Mimi nimevutwa na Marreale! Kumbe ndiyo maana life ilibadilika ghafla! Mim i nilikuwa sielewei huyu jamaa katoka TBL juzi juzi na sasa millionnaire! Kweli kua uyaone
 
Jitu Tapeli (Jeetu Patel) kweli katumaliza. Huyu alitiwa ndani na Baba wa Taifa. Lakini mbona hatujifunzi? Watanzania tuamke na kuipenda nchi yetu. Akina Jitu Tapeli wanaua maendeleo yetu....Kwa fedha zetu wenyewe anatembeza sumu kwa viongozi wetu...Jamani sasa basi....Ya Kagoda ndio sisemi...yaani nasikia hata BRELA wamepoteza faili.. upumbavu gani huu wa kusajili kampuni bila kuhakikisha anuani na wanahisa.. Akaunti ilikuwa inaendeshwa na nani? Ebo.. tumechoka kunyonywa..
 
Mkuu Invisible,

Kofia juu, naona umewakamata ma***** hata hawawezi kujitetea tena.

Jeetu Patel mroho kweli kweli, wacha aende jela vijana huko wamshughulikie.

Maregesi mbona yeye hajafikishwa mahakamani? Hao ndio watu Lowassa alikuwa anashinda nao, hata yeye ana maswali mengi sana ya kujibu.

Wacha tuiachie serikali iwashughulikie, ikishindwa, wananchi tukichukua sheria mikononi mwetu nani atatulaumu?
 
--------------------------------------------------------------------------------

Mbona Njake ni ya somebody Lema from Arusha? Au mimi ndio sielewi?

UTAWAJUA TU SUBIRI WAANZE USHAHIDI!!!!KUANZIA WIKI IJAYO ULINZI UTAKUWA WA AJABU SANA PALE MAHAKAMANI KAMA ALIVYOTANGAZA IGP,NA HILI NI KUTOKANA NA WAH WA EPA KUAMINIWA WANAOUWEZO MKUBWA SANA!!1MSISHANGAE KUSIKIA BOMU LIMELIPULIWA PALE MAHAKAMANI!!!POLEN WAH MAHAAKIMU
 
Inawezekana i am wrong lakini jina lenyewe linamaanisha solutions za ki utawala..So labda ni utawala wa kibiashara ama serikalini i don't know...Ila kifupi solutions wanazo wao nadhani na ccm wana solutions nyingi tu nadhani.
Sasa solution ya EPA sijui ilikuwa vipi.

Mkuu Mushi Executive Solution mbali na mambo mengine wanatoa huduma kwa makampuni ikiwepo ile ya kutafuta na kuhakikisha magazeti na vyombo vingine vya habari vinatoa Habari inayohusiana na shughuli mbalimbali za makampuni hayo.

Mkuu Invisible hiyo Njake ni ya Mzee wa Arusha na kuna tetesi kwamba huyu mzee walimuingiza tu kiaina lakini alikuwa haelewi hili dili kwa undani...... Ni tetesi tu lakini
 
13.
COMPANY NAME: Njake Hotels Ltd

Shareholders and Directors: Jeetu Patel, Devendrabhai Patel, Metul Patel, Bharat Patel Vimal Mehta

Related Company: Noble Azania Investments

Office Location: Block 27 Plot No. 61-61 Bibi Titi Road

Residence Address: Plot No. 1413 Msasani Penninsula

Mkuu Invisible:-
It's been long time since i last appeared in JF, but hope all in order..Just quick note here in below;

Njake Hotels and Tours Ltd
Share holders are:- Japhet Laiyandumi Lea, Anna Japhet Lema, Abel Japhet Lema, Derick Japhet Lema na Bernard Japhet Lema.
Location: Arusha-Head office Mianzini (Arusha-Moshi road)

Ps: In BOT scandal huyu Elisifa Ngowi (Ofisa Usalama wa Taifa) is in the list of Clayton Marketing Limited.

Bye for a while..
 
Tatizo linaloiweka pabaya Serikali ni kuona labda kutatokea hali fulani itakayokuwa salama zaidi kulishughulikia jambo hili.

Kilicho mbele ni hekaheka za Uchaguzi na kinyang'anyiro cha Uraisi ,kitimtim ambacho kimeanza kufuka moshi.

Kesi hizi na nyenginenezo kama hizi zilitakiwa ziishe kabla ya Uchaguzi ujao ili kuiweka CCM katika hali nzuri.Lakini kwa mlolongo wa wahusika na mashahidi huenda zikachukua miaka labda yatokee mageuzi ya chama tawala.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Invisible:-
It's been long time since i last appeared in JF, but hope all in order..Just quick note here in below;

Njake Hotels and Tours Ltd
Share holders are:- Japhet Laiyandumi Lea, Anna Japhet Lema, Abel Japhet Lema, Derick Japhet Lema na Bernard Japhet Lema.
Location: Arusha-Head office Mianzini (Arusha-Moshi road)

Ps: In BOT scandal huyu Elisifa Ngowi (Ofisa Usalama wa Taifa) is in the list of Clayton Marketing Limited.

Bye for a while..
Mkuu,

Nimefurahi kwa marekebisho yako na natumaini wahusika ujumbe unawafikia.

BTW: Kama kuna mdau anaweza kusaidia juu ya hii namba ya simu iliyo kwenye hii doc (kwa sasa amepewa mtu mwingine hivyo do not ring) tupate who was owning that landline number.

i114_nyaraka.jpg
 
Revealed: Jailed BoT official who holds key to EPA secrets

THIS DAY

A FORMER senior Bank of Tanzania (BoT) official, Imani David Mwakosya, who is among just two accused persons still being held in remand prison in the ongoing External Payment Arrears (EPA) account trials, is reported to hold ’valuable secrets’ behind the scandal.

Mwakosya was the head of Bilateral and Commercial Debt (BCD) at the BoT during the 133bn/- EPA scandal in 2005/06, but is now reported to be in increasingly failing health.

The BoT official along with another accused person, Farijala Hussein, are the only persons still being held in remand prison out of a total of 20 suspects facing criminal charges in the high-profile EPA cases before the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam.

The report of the special audit on the EPA account by the international audit firm, Ernst & Young, identified Mwakosya as the person ’’primarily responsible for EPA account administration.’’

According to the auditors’ report, the former senior central bank official ’’even drafted the BoT’s operations procedures manual.’’

Mwakosya’s former boss, Ms Esther Komu, who was the deputy director of the BoT debt department (DDDD), which falls under the directorate of economic policy, is among the 18 EPA accused persons thus far released on bail.

Two former acting company secretaries (lawyers) of the BoT, Bosco Ndimbo Kimola and Sophia Joseph Lalika, have also been granted bail.

’’This guy (Mwakosya) holds valuable secrets ... he was the one in charge of running the EPA account, so he knows who was paid exactly what,’’ said an official familiar with the EPA investigation.

He added: ’’I find it a bit strange that Mwakosya is still in remand prison while almost everyone else has been granted bail. I fear for his safety, since his health also appears to be rapidly deteriorating.’’

Reports had it that the accused person has also been suffering from possible memory loss.

Court officials say Mwakosya’s lawyers were still working on meeting bail conditions to ensure their client is released on bail next week.

Meanwhile, Rajabu Maranda, a businessman and Chama Cha Mapinduzi (CCM) leader from Kigoma Region, was yesterday released on bail by the Kisutu court.

Maranda, who is jointly charged with Farijala Hussein in connection with alleged conspiracy, fraud and theft of over 1.8bn/- from the EPA account was granted bail after producing a title deed for property valued at 450m/-.

The other 18 EPA suspects who have so far been released on bail are business tycoons Jeetu Patel and Johnson Lukaza.

Others are Mwesigwa Lukaza, Devendra Vinodbhai Patel, Amit Nandy, Ketan Chohan, Japhet Lema, Ajay Suryakant Somani, Jai Chhotalal Somani, Bahati Mahenge, Manase Mwakale, Davis Kamungu, Godfrey Mosha and Eddah Mwakale.
 
Jitu Tapeli (Jeetu Patel) kweli katumaliza. Huyu alitiwa ndani na Baba wa Taifa. Lakini mbona hatujifunzi? Watanzania tuamke na kuipenda nchi yetu. Akina Jitu Tapeli wanaua maendeleo yetu....Kwa fedha zetu wenyewe anatembeza sumu kwa viongozi wetu...Jamani sasa basi....Ya Kagoda ndio sisemi...yaani nasikia hata BRELA wamepoteza faili.. upumbavu gani huu wa kusajili kampuni bila kuhakikisha anuani na wanahisa.. Akaunti ilikuwa inaendeshwa na nani? Ebo.. tumechoka kunyonywa..

Inaelekea hapo Brela pia kuna mafisadi wanaolinda maslahi ya mafisadi wenzao. Faili limepotea hakuna hata wa kuwajibishwa wote wanapeta tu na kuendelea kuingiza mishahara yao bila wasiwasi wowote!!!

126914.jpg

Kigoma CCM regional treasurer Rajabu Maranda tries to hide behind the prison warder to avoid the camera yesterday at Kisutu Resident Magistrate`s Court in Dar es Salaam when he was being escorted to sign release forms after meeting bail conditions.
 
Mkuu,

Nimefurahi kwa marekebisho yako na natumaini wahusika ujumbe unawafikia.

BTW: Kama kuna mdau anaweza kusaidia juu ya hii namba ya simu iliyo kwenye hii doc (kwa sasa amepewa mtu mwingine hivyo do not ring) tupate who was owning that landline number.

i114_nyaraka.jpg

Invisible,

Shirika la simu linaweza kabisa kujua ni nani aliyekuwa mmiliki wa namba hiyo mwaka 2000. Pia kuna signature ya wakili Ringo Tenga ambaye ni lazima atakuwa anawajua hao wateja wake walikuwa ni akina nani.
 
Ukiangalia vizuri na kwa makini inaonekana huyo Barrati .s. Godda ndiye aliyeiandika hiyo Tabu Omari
 
Huyu atakuwa alitumika tu na hela hana......... patamu hapo !!!!!!! unaweza kukuta dili zote hizo yeye labda alipewa$50, 000 akamalizia kanyumba kake halafu basi tena
 
TTCL online directory haina hiyo namba labda kama nimesearch vibaya

Mama nadhani kuna wateja wengine huwa hawataki namba zao ziorodheshwe kwenye directory, lakini kama ikibidi watoe ushahidi kuhusu ni nani aliyekuwa mmiliki wa namba hiyo basi watakuwa hawana jinsi. Wasi wasi wangu ni kwamba jina la mmiliki wa namba hiyo linaweza kuwa ni jina hewa.
 
0kay, hivi kwa dar 28 ni code area ya wapi? kwa mfano msasani 26, mikocheni ni 27, ubungo, 24, down town 21, Sinza sina hakika, inaweza kuwa 28?
 
Huyu atakuwa alitumika tu na hela hana......... patamu hapo !!!!!!! unaweza kukuta dili zote hizo yeye labda alipewa$50, 000 akamalizia kanyumba kake halafu basi tena

Hili linawezekana kabisa. Lakini kama anayajua mengi kuhusiana na wizi wa EPA kwanini serikali isimtumie ili kupata ushahidi dhidi ya wahusika na yeye kupunguziwa adhabu yake? Hili linafanyika katika nchi nyingi tu. Serikali iharakishe kupata ushahidi toka kwake kabla hajapoteza uhai.
 
Sidhani serikali inataka ushahidi halisi ujulikane. Subiri uone.
 
Hili linawezekana kabisa. Lakini kama anayajua mengi kuhusiana na wizi wa EPA kwanini serikali isimtumie ili kupata ushahidi dhidi ya wahusika na yeye kupunguziwa adhabu yake? Hili linafanyika katika nchi nyingi tu. Serikali iharakishe kupata ushahidi toka kwake kabla hajapoteza uhai.

Labda tujiulize - Je, atakuwa bado yuko hai ifikapo tarehe 18 Januari, 2009 ? Na kama bado atakua hai atakua na kumbukumbu zozote ? Na kama atakuwa nazo - je, zitakuwa sahihi ? Na kama zitakuwa sahihi ataweza kuzithibitisha ? Ama ninaota tu !!!
 
Hili linawezekana kabisa. Lakini kama anayajua mengi kuhusiana na wizi wa EPA kwanini serikali isimtumie ili kupata ushahidi dhidi ya wahusika na yeye kupunguziwa adhabu yake? Hili linafanyika katika nchi nyingi tu. Serikali iharakishe kupata ushahidi toka kwake kabla hajapoteza uhai.

BAK, kwenye thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ostam-aziz-ni-wamiliki-wa-kagoda-company.html
Zitto keshasema uchunguzi wote umekamilika. Hivyo watakuwa wamesha extract info zote kutoka kwa huyo jamaa..
 
Back
Top Bottom