Kagoda wamerudisha fedha, bado mnataka kuwajua?


Tatizo kubwa la vyama vya upinzani ni kukaa kimya pale wanapotakiwa kusema, na kusema wakati usio muhafaka.

Katika hili sakata la DOWANS, nilitegemea upinzani ungepaza sauti sana Hasa kwa kuwa wao ndio waliothubutu kulipeleka Bungeni na kwa wananchi. Mambo mengi ambayo yanafanywa na serikali hayakemewi na upinzani kama inavyotarajiwa. Inatakiwa wawe macho/makini ili kubaini mapungufu na ku-capitalise kwayo.
 
Nchi hii imepitia mitihani mingi sana, kama ni mtoto basi ni lazima adumae !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…