Kahama: Diamond atua kwa helikopter . Amwaga noti 'live'

Hivi Mayweather naye huwa anamwaga hela kwa mashabiki,au yule JZ ambaye ametangazwa na forbes kuwa billionare wa hip hop artist mbona sijawahi kusikia akirusha mahela kwa mashabiki?au hii ni kibongobongo zaidi...!
 
Kwakumwaga mihela Nayeye anataka aitwe Askofu kama Mollel wa madini aliye rest majuzi
 
'hukumu ya kifo ipo pale paleeeee'

Ok kwako haitakuwepo! Utaishi milele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo bhana wanataseka saana na Maisha ya Matajiri ! Masikini wengi wanawachukia matajiri @kidukulilo Hapa sasa nimeanza kukuelewa Mkuu
 
Kumwaga hela hovyo nayeye hapo ndio anafeli. Kama anaamua kutoa angekuwa anatumia utaratibu mzuri tu.
 
Hivi Mayweather naye huwa anamwaga hela kwa mashabiki,au yule JZ ambaye ametangazwa na forbes kuwa billionare wa hip hop artist mbona sijawahi kusikia akirusha mahela kwa mashabiki?au hii ni kibongobongo zaidi...!
Drake huwa anatoa hela... Mbona kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…