Kahama: Diamond atua kwa helikopter . Amwaga noti 'live'

Huku mjini tunapishana nae Hakuna mtu anamfuatilia akitafuta videmu vichafu
 
Hapa Niko kuangalia show Diamond Platnumz inarushwa Live kutoka Geita katika Chanel ya Wasafi TV lakini sauti inakwaruza haisikiki vizuri mikwaruzo mingi kabisa.
Diamond rekebisha sauti katika mic zako vinginevyo ovyo kabisa.
Je na ninyi mnavyoona uko You Tube vikoje?
 
Hapa naangalia show ya diamond platnumz live hapa Wasafi TV sauti ina mikwaruzo kibao vinginevyo ovyo kabisa show yenyewe Vipi na nyie mnaongalia You Tube hali ipoje?
 
Kamalizie assignment dogo.. Achana na hao wachovu..
 
Kumbe yupo Geita?
Chuki binafsi tu huyu anazo.
Diamond yupo Kahama na sasa hivi Live Wasafi tv Dj kidlax analiamsha dude.

Aaliyah wakati akimuoji Diamond ndio kulikuwa na tatizo la Sauti, yani wabongo vitu vidogo tayari wanafanya ni habari. Utafikiri hakuna media zingine zinapataga matatizo ya picha, sauti kukatika na hata kukata kabisa matangazo hajui wanatumia 3G cameras
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…