Kahama: Diamond atua kwa helikopter . Amwaga noti 'live'

Mpaka muda huu Kwa show hii uliyofanya kwa kweli wana Kahama tumeridhika hata ukisema unafunga show sasa hivi tutakua tumekata kiu,baba unajua sana tuseme ukweli tu wanaokupambanisha na wasanii wa Tanzania wanakukosea sana heshima,wewe ni level ya kina MJ
bonge la show one man army
 
Nawasiwasi na huo moto sijui hadi sasa umejeruhi wangapi
 
Hawa ma stage show wa Mond manna zaoo wamentia nyegeee..

hivi hilo gauni ukilifunua tu K hii hapaa
 
Kwa Mala ya kwanza msanii mwanamuziki wa kizazi kipya diamond platnumz
Amefanya shoo ya maana mjini kahama
Toka ameanza biashara ya muziki diamond hajawahi kufanya shoo nzuri kama ya leo mjini kahama

Kwakweli tumeridhika na tunaomba zile shoo za kitoto za kuruka ruka na kupayuka waachie wakina mboso
 

= mara
 
We ni ke au me? Naomba tuanzie hapo, samahani lakini
 
Kuna jezi ya blue inanyanyuliwa na shabik mmoja numbered 20... Ni ya nani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…