The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kahama Shinyanga mwalimu wa Madrasa amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kulawiti watoto wadogo wa kiume 10 aliokua anawafundisha kwenye msikiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakijitingisha si ndiyo watatoa ushirikiano!Mitoto nayo inalawitiwa imetulia tu.
Watoto wapewe elimu kuhusu mambo haya
Kwa waislamu mwalimu wa madrasa ana nguvu kuliko mzazi hivyo watoto huwaogopa zaidi walimu wa madrasa kuliko wazazi.Wakijitingisha si ndiyo watatoa ushirikiano!
Kahama Shinyanga mwalimu wa Madrasa amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kulawiti watoto wadogo wa kiume 10 aliokua anawafundisha kwenye msikiti.