TANZIA Kahama: Mwenyekiti wa Wazazi (CCM) kata ya Ulowa ajiua kwa kujipiga risasi

Huyu na mwenye jina kama hilo la mwisho nae wa ccm geita mwenye "mpunga" mrefu ni ndugu au ndio huyu huyu?
 
Hapo kuna kujiua, alafu kuna madhambi tu ya kuwa mwana CCM., Jamaa ana kazi huko aendako, Mungu amhurumie
 
Kama namiliki bunduki halafu nawazia kujiua naenda uswazi kwetu nafyatua vibaka wawili watatu kisha najifinish na mimi.

Ila kusema kweli ikifika stage namiliki bunduki kujiua kutanisamehe
 
Kazi
Kazingua sana,
Y kajiua pekee yake?

Bora angelifanya hivyo akiwa kwenye kikao na risasi ikapitia wengine kadhaa.
 
Jambawazi kajiuwa!.

Wenzake wanazitumia kujimwambafy mtaani yeye kaona ajijaribu nayo?sumu haionjwi nadhani alilisahau hilo
 
Tuna mpongeza kawaida wana CCM wanaupiga mwingi na bibi yao, CCM wajiue wengi haraka mno
 
Kama namiliki bunduki halafu nawazia kujiua naenda uswazi kwetu nafyatua vibaka wawili watatu kisha najifinish na mimi.

Ila kusema kweli ikifika stage namiliki bunduki kujiua kutanisamehe
Inasemekana wanaojiua ni waoga kupambana na hali zao πŸ˜…πŸ™

Surviving for the fittest !! Mwanaume hajiui huwa anapambana mpaka tone la mwisho !! πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…