REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Acha mada za kitoto subilia ukirudi chuo mjadili na wenzako mkiwa group discusionTatizo lako yawezekana umezaliwa kahama umekuliaa kahama umesomea kahama na una mpango wa kuwa na familia kahama, ndyo maana unapaona kahama ni Dubai au London cha kukushauri mkuu hujachelewa jichange uende japo Hongkong uone nini maana ya jiji na nini maana ya mipango miji
HaahhahahUko mjini mara ukutane na punda mara mbuzi mara ng'ombe sasa huo ni mji au kijijini
Kwaiyo unataka watu wache kuishi nje ya utaratibu wao wa maisha ya kila sikuUko mjini mara ukutane na punda mara mbuzi mara ng'ombe sasa huo ni mji au kijijini
Punguza makasiriko kijana mambo ya shule nilishayasahau miaka 47 iliyopita nakushauri tu jichange upate kutembea na kama unataka kujua mama yako anajua kupika au hajui jaribu kula na kwa jiraniAcha mada za kitoto subilia ukirudi chuo mjadili na wenzako mkiwa group discusion
Hivi unajua maana ya jiji au unajua maana ya mipango mijii? Hebu fanya mpango utoke hapo kahama mkuu unakuwa kama umefungiwa kwenye box📦Kwaiyo unataka watu wache kuishi nje ya utaratibu wao wa maisha ya kila siku
Shida wengi wa raia wa Shithole hawana exposure hawajawahi kuvuka boda so kwao standards na SI unit ni majiji kama Dar,Mwanza na Arusha.Mji mzuri kwa utafutaji babuu, ukitaka kuona wanyama serengeti ipo, au ukitaka fukwe za bahar kuna tanga dsm mtwara na pwani , ukitaka kuona highland pale kilimajaro chuga, manyara penyewe,, Hii nchi ina vivutio lukuki,, hizi kahama na geita ni migodi tu,, makarasha 😂
Moja ya kosa kubwa mnalofanya ni kudhani Watanzania hawajui kuwa miji ya nje imeendelea. Watanzania wanajua sana tu kuwa Guangzhou ni jiji zuri limejengeka na kupangika, au miji ya Ulaya imejengwa vizuri na kupangika, huoni mara ngapi watu wakitamani kwenda kuishi huko Ulaya? Unadhani hawajui kuwa miji ya nje ni mizuri? Hii sio Rocket Science, kila mtu anajua si lazima wakatembee kama mnavyodai, hakuna haja hiyoUngesema hivi enyi washamba wa Tanzania jitahidini mfike Guangzhou Hongkong Instanibul Moscow muone maana halisi ya majiji ila kuitaja kahama tu kama sehemu ya kishamba, hujatenda haki anzia Dar mwanza arusha, Dodoma, tanga mbeya moshi kote huko kwangu mimi ni Vijiji vilivyochangamka tu
Ee BIJAMPOLA PUB nimewah ingia ninunue malaya nkaambiwa wamebak wa af 3000 tatu...Mkuu umejaribu kufika BIJAMPOLA PUB pale kutuliza koo
Hao wa 3k wakikupa U.T.I kupona kwake ata umeze duka la dawa na muuzaji huponi labda umeze hospitali kabisaEe BIJAMPOLA PUB nimewah ingia ninunue malaya nkaambiwa wamebak wa af 3000 tatu...
aisee bijampola
MkuuMkuu umejaribu kufika BIJAMPOLA PUB pale kutuliza koo
Mkuu,Acha hila na majungu,kwani umelazimishwa kwenda kahama ,unaweza kupasifia kwenu au unapopaona panafaa bila kuponda sehemu,nyingine,
Jua kuwa ukitoa majiji kama ( dar,Mwanza na Arusha) unatakiwa ujue Tanzania inafanana fanana Sana kaa ukijua Hilo mshamba wewe
Muulize kwanza yeye kwao wapi?Wasukuma na miji Yao acha wasifie
Mpaka relini kuleMkuu
Akitoka bija aende shunu arudi mpaka masaki afike manzese na akanunue tuvitu vitu cdt naimani hatojuta.
Mkuu,Mpaka relini kule