Kwa nini useme ni washamba tuanzie hapo, kuhusu kujenga miundo mbinu ya Barabara ni kazi ya wana inchi au serikali? Una sema mji una Nuka ni kweli, huko kwenu Dara hapa nuki? Acha uboya mshamba mkKahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao.
Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa zinazomiminwa kuwa kahama ni mji mzuri kwa nini mimi sizioni.Ukianzia miundombinu ya barabara ni mashimo tu na vumbi la kutosha.Mji wenyewe kwa ujumla umejengwa kiholela(hakuna mvuto na unanuka(kila sehemu takataka.
Stendi yenyewe ya hovyo tu licha ya kuwa na mapato makubwa yatokanayo na migodi.NINYI WASHAMBA MNAOSIFIA HUU UTOPOLO MJITAFAKARI AU MJITAHIDI MTEMBELEE NCHI ZA ULAYA AU HATA TU RWANDA.NAHITIMISHA KUWA MIPANGO MIJI TANZANIA NI ZERO.
Mleta uzi yeye kaona barabara tuMkuu,
Nimekuja hapo kitambo nikafika mpaka Mwime pale.
KWa hiyo kwa kuwa Dar pananuka unaona ni sawa kahama kunuka?Kwa nini useme ni washamba tuanzie hapo, kuhusu kujenga miundo mbinu ya Barabara ni kazi ya wana inchi au serikali? Una sema mji una Nuka ni kweli, huko kwenu Dara hapa nuki? Acha uboya mshamba mk
Sijaona cha maana hapo cha kusifia.vijengo vimerundikwa kama uyoga(hakuna mpangilio)Ngoja siku moja nije nifanye utalii nijione kahama, maana wanaisifia balaa
Hakika kabisa.Mji ikishakuwa na Barabara za vumbi, obvious hiyo ni takataka tu
Na frame nyingi barabaraniWabongo wakikuambia mji mzuri wanamaanisha kuna watu wengi na vurugu muda wote, hawamaanishi mji uliojengwa kwa mpangilio na usafi
Siku hizi ni utandawazi.yeye aingie tu google mipango miji ya china,malyasia,ufaransa au usaTatizo lako yawezekana umezaliwa kahama umekuliaa kahama umesomea kahama na una mpango wa kuwa na familia kahama, ndyo maana unapaona kahama ni Dubai au London cha kukushauri mkuu hujachelewa jichange uende japo Hongkong uone nini maana ya jiji na nini maana ya mipango miji
Ndio hivyoNa frame nyingi barabarani
NDiyo maana nikasema kwa Tanzania nzima kwa ujumla mipango miji ni sifuri.Halafu haya siyo majungu bali nimesema ukweli kuwa kahama pananuka na hapafai kwa makazi labda kwa kuchuma tu mali za migodini.Acha hila na majungu,kwani umelazimishwa kwenda kahama ,unaweza kupasifia kwenu au unapopaona panafaa bila kuponda sehemu,nyingine,
Jua kuwa ukitoa majiji kama ( dar,Mwanza na Arusha) unatakiwa ujue Tanzania inafanana fanana Sana kaa ukijua Hilo mshamba wewe
Ebu ficha umbumbu wako naendelea jifunza vitu punguza ujuaji ooh toka nje wewe umeambiwa kahama ni jiji au ujui hadhi ya mji wa kahama niniHivi unajua maana ya jiji au unajua maana ya mipango mijii? Hebu fanya mpango utoke hapo kahama mkuu unakuwa kama umefungiwa kwenye boxπ¦
Mbona umepanic bwana mdogoEbu ficha umbumbu wako naendelea jifunza vitu punguza ujuaji ooh toka nje wewe umeambiwa kahama ni jiji au ujui hadhi ya mji wa kahama nini
Ajichange tu aende GuangzhouSiku hizi ni utandawazi.yeye aingie tu google mipango miji ya china,malyasia,ufaransa au usa