Pre GE2025 Kahama: Paul Makonda ataka Caroline apewe eneo la Serikali, Mkurugenzi asema kumiliki Ardhi ni jambo la kisheria sio siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makonda anaendesha kesi jukwaani, hasikilizi pande zote, na mara zote anaona upande wa serikali ndio umekosea.

Ni sawa na Jerry Silaa pale shinyanga, kaamua kumnyanganya eneo afisa ardhi ili ampe shosti wake Kamani wa UVCCM

Hata ile issue ya waziri Nicas Mahinda, yule dogo aliyekuwa anatamba sana ni mshikaji wa muda mrefu wa Jerry Silaa, kwa hiyo hatujui ushkaji wake na watu ataumiza wangapi. Na kwa nini asishauri watu waende Mahakamani kuliko kuiingiza serikali katika migogoro ili kusaidia washkaji zake.

Haifahamiki kama anafanya consultation na ofisi ya mwanasheria mkuu au wakili mkuu wa serikali kabla ya kutamka ugoro wake.
Ile ni Magufulification
 
Haraka haraka kwenye mada,

Mhe Paul Makonda, mwenezi wetu pole na hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kulijenga Taifa na chama chetu Cha Mapinduzi, hakika unastahili pongezi kwa hili,

Mhe Paul Makonda, Majuzi wakati ukiwa hapa Kahama kuna jambo lilinishtua na roho iliniuma sana wakati unalazimisha yule dada Caroline apewe eneo ambalo ni mali ya Serikali ( Umma )

Mhe Paul Makonda, Nilishangaa sana kwanini hawa watu wabaya watumie jukwaa lako kutengeneza Uongo na kutaka kuiba mali za umma zilizopo kihalali tena wakikuhusisha mpaka wewe katika nia zao hizo ovu!!??

Mhe Paul Makonda, yule mama Caroline aliyekuwa anakulilia pale viwanjani Mimi namfahamu na mgogoro wake kuanzia mwanzo mpaka mwisho naufahamu pia.

Mhe Paul Makonda, Mama huyu tangu alivyoshindwa kesi katika mahakama ya Wilaya ya Ardhi Kahama na baadae akakata rufaa Mahakama kuu Shinyanga mahakama zote hizi zilitamka kuwa lile ni eneo la Serikali ( umma) kama utataka kujiridhisha mwambie akuletee uamuzi wa mahàkama kuu kama alivyodai ameshinda kesi,

Mhe Paul Makonda, Ukweli kuhusu madai ya Caroline unaweza pia kuwauliza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Sophia Mjema au aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe Anamringi Macha ambae Sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama chetu hawa wote wanamfahamu Caroline na eneo pia wanalifahamu watakupa ukweli wote,

Mhe Paul Makonda, kwanini mtu atake kuchukua eneo la Umma na wewe bila kujali Wala kudadisi kwa kina unataka kumpa sapoti achukue mali ya Serikali( umma)?

Mhe Paul Makonda, Nataka nikueleze kuwa Kahama tunamkurugenzi ambae kwanza hanunuliki lakini pili ni mtu mwadilifu na anauchungu na mali za Serikali ndio maana unaona hataki janja janja hizi za watu kupora mali za umma,

Mhe Paul Makonda, Wilaya ya Kahama imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo kwa haraka na Watanzania wanalijua hili ukilinganisha na Halmashauri nyingine zote hapa Tanzania bara na hata Visiwani,

Mhe Paul Makonda, kama Kuna sababu moja kubwa ya Kahama kuwa hivi ilivyo Leo basi ni uwepo wa huyu mkurugenzi na ndio sababu Halmashauri zote Tanzania wanakuja kujifunza hapa Kahama ( Mkurugenzi huyu ni shamba darasa kitaifa )

Mhe Paul Makonda, Mkurugenzi huyu kaitoa Kahama kwenye Halmashauri ya Wilaya hadi leo ni "Municipal council" Waswahili tunasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe,

Mhe Paul Makonda, Najua unajua mtu anayefañya kazi vizuri wakati wote hapendwi hasa na majizi na wapigadili, Ukweli mchungu huyu jamaa sio mwizi Wala mlarushwa TAMISEMI wanajua hivyo na ndivyo ilivyo.

Mhe Paul Makonda, hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa ukusanyaji wa Mapato Tanzania kama sio Kahama tena hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa miradi ya maendeleo kwa Fedha za ndani kama sio Kahama au hebu nitajie Wilaya moja inayoitwa Mkoa wa Kikodi hapa Tanzania kama sio Kahama,

Mhe Paul Makonda, Tunapopata vijana waadilifu na Waaminifu kama hawa lazima tuwapongeze na kuwatia moyo nasio kuwakemea na kuwadhalilisha mbele ya halaiki bila kujali kazi kubwa wanayoifanyia nchi yetu.

Mwisho, Tupelekee salamu zetu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwambie kura zake za mwaka 2025 Kahama zimetimia hata kama Uchaguzi utakuwa ni kesho mama anashinda kwa kishindo.

Ni Mimi Mabula Malunde Sitta.
Kahama inapendeza sana kama Kuna mtu anafanya vizuri ni haki akipongezwa sio kudhalilishana kitoto toto hivyo
 
Anderson ni kijana wa TISS anakiapo so kuiba hawezi na ndio sababu amedumu sana kwenye hiyo Halmashauri huyu Makonda ni mtu anatafuta publicity tu
 
Kuna shida pahali kwenye hii thread na kama ipo sawa.
Muacheni hata bi samia aendelee kuaifiwa Tanzania hii
 
Haraka haraka kwenye mada,

Mhe Paul Makonda, mwenezi wetu pole na hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kulijenga Taifa na chama chetu Cha Mapinduzi, hakika unastahili pongezi kwa hili.

Mhe Paul Makonda, Majuzi wakati ukiwa hapa Kahama kuna jambo lilinishtua na roho iliniuma sana wakati unalazimisha yule dada Caroline apewe eneo ambalo ni mali ya Serikali (Umma)

Mhe Paul Makonda, Nilishangaa sana kwanini hawa watu wabaya watumie jukwaa lako kutengeneza Uongo na kutaka kuiba mali za umma zilizopo kihalali tena wakikuhusisha mpaka wewe katika nia zao hizo ovu!!?

Mhe Paul Makonda, yule mama Caroline aliyekuwa anakulilia pale viwanjani Mimi namfahamu na mgogoro wake kuanzia mwanzo mpaka mwisho naufahamu pia.

Mhe Paul Makonda, Mama huyu tangu alivyoshindwa kesi katika mahakama ya Wilaya ya Ardhi Kahama na baadae akakata rufaa Mahakama kuu Shinyanga mahakama zote hizi zilitamka kuwa lile ni eneo la Serikali (umma) kama utataka kujiridhisha mwambie akuletee uamuzi wa mahàkama kuu kama alivyodai ameshinda kesi,

Mhe Paul Makonda, Ukweli kuhusu madai ya Caroline unaweza pia kuwauliza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Sophia Mjema au aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe Anamringi Macha ambae Sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama chetu hawa wote wanamfahamu Caroline na eneo pia wanalifahamu watakupa ukweli wote,

Mhe Paul Makonda, kwanini mtu atake kuchukua eneo la Umma na wewe bila kujali Wala kudadisi kwa kina unataka kumpa sapoti achukue mali ya Serikali (umma)?

Mhe Paul Makonda, Nataka nikueleze kuwa Kahama tunamkurugenzi ambae kwanza hanunuliki lakini pili ni mtu mwadilifu na anauchungu na mali za Serikali ndio maana unaona hataki janja janja hizi za watu kupora mali za umma,

Mhe Paul Makonda, Wilaya ya Kahama imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo kwa haraka na Watanzania wanalijua hili ukilinganisha na Halmashauri nyingine zote hapa Tanzania bara na hata Visiwani,

Mhe Paul Makonda, kama Kuna sababu moja kubwa ya Kahama kuwa hivi ilivyo Leo basi ni uwepo wa huyu mkurugenzi na ndio sababu Halmashauri zote Tanzania wanakuja kujifunza hapa Kahama ( Mkurugenzi huyu ni shamba darasa kitaifa)

Mhe Paul Makonda, Mkurugenzi huyu kaitoa Kahama kwenye Halmashauri ya Wilaya hadi leo ni "Municipal council" Waswahili tunasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe,

Mhe Paul Makonda, Najua unajua mtu anayefañya kazi vizuri wakati wote hapendwi hasa na majizi na wapigadili, Ukweli mchungu huyu jamaa sio mwizi Wala mlarushwa TAMISEMI wanajua hivyo na ndivyo ilivyo.

Mhe Paul Makonda, hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa ukusanyaji wa Mapato Tanzania kama sio Kahama tena hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa miradi ya maendeleo kwa Fedha za ndani kama sio Kahama au hebu nitajie Wilaya moja inayoitwa Mkoa wa Kikodi hapa Tanzania kama sio Kahama,

Mhe Paul Makonda, Tunapopata vijana waadilifu na Waaminifu kama hawa lazima tuwapongeze na kuwatia moyo nasio kuwakemea na kuwadhalilisha mbele ya halaiki bila kujali kazi kubwa wanayoifanyia nchi yetu.

Mwisho, Tupelekee salamu zetu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwambie kura zake za mwaka 2025 Kahama zimetimia hata kama Uchaguzi utakuwa ni kesho mama anashinda kwa kishindo.

Ni Mimi Mabula Malunde Sitta.
Umma ulilitoa wapi Hilo eneo? Yaani upore eneo la mwananchi bila fidia harafu useme ni eneo la Umma? Acheni ujinga
 
Kahama ya wapi hiyo inayoongoza kukusanya Mapato hapa Tzn? Ndio mnawadanganya nyumbu huko si ndio?

Tunduma na Geita ziko Juu ya Kahama kitambo tuu even Mkuranga na Chalinze DC
 
Haraka haraka kwenye mada,

Mhe Paul Makonda, mwenezi wetu pole na hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kulijenga Taifa na chama chetu Cha Mapinduzi, hakika unastahili pongezi kwa hili.

Mhe Paul Makonda, Majuzi wakati ukiwa hapa Kahama kuna jambo lilinishtua na roho ikaniuma sana wakati unalazimisha yule dada Caroline apewe eneo ambalo ni mali halali ya Serikali (Umma)

Mhe Paul Makonda, Nilishangaa zaidi kwanini hawa watu wabaya watumie jukwaa lako kutengeneza Uongo na kutaka kuiba mali za umma zilizopo kihalali tena wakikuhusisha mpaka wewe katika nia zao hizo ovu!!?

Mhe Paul Makonda, yule mama Caroline aliyekuwa anakulilia pale viwanjani Mimi namfahamu na mgogoro wake kuanzia mwanzo mpaka mwisho naufahamu pia wote.

Mhe Paul Makonda, Mama huyu tangu alivyoshindwa kesi katika mahakama ya Wilaya ya Ardhi Kahama na baadae akakata rufaa Mahakama kuu Shinyanga mahakama zote hizi zilitamka kuwa lile ni eneo la Serikali (umma ) kama utataka kujiridhisha zaidi mwambie akuletee uamuzi wa mahàkama kuu Kanda ya. Shinyanga kama alivyodai mbele ya umma kuwa ameshinda kesi.

Mhe Paul Makonda, Ukweli kuhusu madai ya Caroline unaweza pia kuwauliza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Sophia Mjema au aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe Anamringi Macha ambae Sasa ndio Naibu Katibu Mkuu wa Chama chetu hawa wote wanamfahamu Caroline na eneo pia wanalifahamu watakupa ukweli wote.

Mhe Paul Makonda, najiuliza kwanini mtu atake kuchukua eneo la Umma na wewe bila kujali Wala kudadisi kwa kina unataka kumpa sapoti achukue mali ya Serikali (umma) kwani huoni kama kwa kufanya hivyo unachochea mgogoro zaidi?

Mhe Paul Makonda, Nataka nikueleze kuwa Kahama tunamkurugenzi ambae kwanza hanunuliki lakini pili ni mtu mwadilifu na anauchungu na mali za Serikali ndio maana unaona hataki janja janja hizi za watu kupora mali za umma.

Mhe Paul Makonda, Wilaya ya Kahama imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo kwa haraka na Watanzania wanalijua hili ukilinganisha na Halmashauri nyingine zote hapa Tanzania bara na hata huko Visiwani.

Mhe Paul Makonda, kama Kuna sababu tatu kubwa za Kahama kuwa hivi ilivyo Leo basi moja ni uwepo wa huyu mkurugenzi mwadilifu na ndio sababu Halmashauri zote Tanzania wanakuja kujifunza hapa Kahama ( Mkurugenzi huyu ni shamba darasa kitaifa )

Mhe Paul Makonda, Mkurugenzi huyu kaitoa Kahama kwenye Halmashauri ya Wilaya hadi leo ni "Municipal council" Waswahili tunasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe ukweli ni kwamba binadamu wote tunayomadhaifu ila huyu anajitahidi sana.

Mhe Paul Makonda, Najua unajua mtu anayefañya kazi vizuri wakati wote hapendwi hasa na majizi na wapigadili, Ukweli mchungu huyu jamaa sio mwizi Wala mlarushwa TAMISEMI wanajua hivyo na ndivyo ilivyo.

Mhe Paul Makonda, hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa ukusanyaji wa Mapato Tanzania kama sio Kahama tena hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa miradi ya maendeleo kwa Fedha za ndani kama sio Kahama au hebu nitajie Wilaya moja inayoitwa Mkoa wa Kikodi hapa Tanzania kama sio Kahama.

Mhe Paul Makonda, Tunapopata vijana waadilifu na Waaminifu kama hawa lazima tuwapongeze na kuwatia moyo nasio kuwakemea na kuwadhalilisha mbele ya halaiki bila kujali kazi kubwa wanayoifanyia nchi yetu.

Mwisho, Tupelekee salamu zetu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwambie kura zake za mwaka 2025 Kahama zimetimia hata kama Uchaguzi utakuwa ni kesho mama anashinda kwa kishindo.

Ni Mimi Mabula Malunde Sitta.
Naipenda sana Kahama imepangika vizuri, inabarabara nzuri ipo siku nitaishi Kahama hata Mbunge wao pamoja na kwamba hana shule ila anaakili sana yule Mzee
 
Back
Top Bottom