Pre GE2025 Kahama: Paul Makonda ataka Caroline apewe eneo la Serikali, Mkurugenzi asema kumiliki Ardhi ni jambo la kisheria sio siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ile ni Magufulification
 
Kahama inapendeza sana kama Kuna mtu anafanya vizuri ni haki akipongezwa sio kudhalilishana kitoto toto hivyo
 
Anderson ni kijana wa TISS anakiapo so kuiba hawezi na ndio sababu amedumu sana kwenye hiyo Halmashauri huyu Makonda ni mtu anatafuta publicity tu
 
Kuna shida pahali kwenye hii thread na kama ipo sawa.
Muacheni hata bi samia aendelee kuaifiwa Tanzania hii
 
Umma ulilitoa wapi Hilo eneo? Yaani upore eneo la mwananchi bila fidia harafu useme ni eneo la Umma? Acheni ujinga
 
Kahama ya wapi hiyo inayoongoza kukusanya Mapato hapa Tzn? Ndio mnawadanganya nyumbu huko si ndio?

Tunduma na Geita ziko Juu ya Kahama kitambo tuu even Mkuranga na Chalinze DC
 
Naipenda sana Kahama imepangika vizuri, inabarabara nzuri ipo siku nitaishi Kahama hata Mbunge wao pamoja na kwamba hana shule ila anaakili sana yule Mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…