Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Wameingiwa woga mkubwa maccm. Hawaamini kile chama walichodai kimeshakufa kuvuta kuwa na uwezo wa kuvuta umati mkubwa kama huu.
@BAK mkuu wangu! Haki ya nani CCM inaondoka mwaka huu. Kwa hiari au kwa shari!
Umati kama huo miji yote wapo, jee ukiwaibia kura na wakajua umewaibia kisha akajitokeza wa kuwaingiza barabarani nani ataweza kuwazuia?
Hatuna polisi wakuweza Fanya hivyo.
Jee Dar, Arusha, Mwanza,Mbeya, Moro nk kukilipuka ndani ya siku moja ubavu wa kuzuia upo?
Hakuna, zaidi ya kujitafutia makubwa zaidi
 
Reactions: BAK
Mbona Dr slaa na lowassa walikuwa wanasindikizwa?
 
Uache kujificha kwenye sketi za polisi.

Wewe kama kidume hebu ulete fyoko zako mbele ya watu waliovurugwa na hilo lichama lako!

Utanyoroshwa mpaka unye!

Endelea kujificha kwenye sketi za polisi! Usitoke humo!
Wewe uko wapi? Nyani heshi kuficha kundule!
I ignore you officially.
 
Strategy ya "saccos" baada ya kuona wanashindwa sasa ni ku discredit kampeni za uchaguzi
 
Acha UFINYU wa akili! Kwani kukusanyika mahali popote pale Nchini ni kuvunja sheria? Tangu lini!?
Kwani inawezekana wote kulala hapo ??

Maana ni nyumba ya wageni halafu wapo wengi.

Bora wamelazimishwa kila mtu akalale kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…