Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Amani wakati unasikia watu wamepigwa mabomu na risasi, hivi unajua kusoma au unaangalia picha tu?!
Hivi ni kwa nini watu wakishakuwa wengi tu linakuwa tishio kwa watawala? Yeye mwenyewe alitoa ruhusa ya watu kuzaliana kadiri wawezavyo. watu wameitikia wito wa kuzaa na tumekuwa wengi lakini sasa wingi wetu inakuwa ni tishio kwa watawala badala ya kuwa mtaji wa kura na maendeleo. Hofu ya nini?
 
Wa Leo sio wa jana,haki kwanza ndipo amani ufuata
Nimeipenda sana kauli mbiu ya Chadema. "Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu". Hivi kauli mbiu ya CCM ina maana gani kusema "Hapa kazi tu". Ina maana hata kulala hatulali, kula hamna, kupumzika hamna, kusali na kuswali hamna, kila kitu hakuna ila ni Kazi tu. Kwani sisi tumekuwa maroboti?
 
Hivi ni kwa nini watu wakishakuwa wengi tu linakuwa tishio kwa watawala? Yeye mwenyewe alitoa ruhusa ya watu kuzaliana kadiri wawezavyo. watu wameitikia wito wa kuzaa na tumekuwa wengi lakini sasa wingi wetu inakuwa ni tishio kwa watawala badala ya kuwa mtaji wa kura na maendeleo. Hofu ya nini?
Loh! Huo wito wa juzi ndio washakuwa wakubwa hivi wanafanya maanadamano! Maajabu.
 
Loh! Huo wito wa juzi ndio washakuwa wakubwa hivi wanafanya maanadamano! Maajabu.
Ina maana wale waliozaliwa kwa wingi kabla ya wito wake ni haramu? Hawataki? Anataka wa kipindi cha wito wake tu ndio wawe wengi?
 
Afungashe aende wapi wakati Tume ni yake na mkono mwingine Ana dola, jiandaeni kulia na nguvu hizi mngezitumia kudai Time huru na katiba mpya kwanza
Kwa hiyo unataka kusema Magufuli atapora uchaguzi?
 
Wa jf sio wa barabarani, unaleta shobo unakula ya ugoko unapelekwa hospital basi. Dawa zipo za kutosha.
Unakula tatu zile za Mama Samia zenye
shabaha ati, au zile 40 halafu 16 ndio zimelenga
Pongezi kwenu CCM na walenga shabaha wenu
 
Acheni mbegu ikue kwa dhoruba ikikomaa mavuno yake ni mazuri sana.
 
FB_IMG_1602585263125.jpg

Kuna jitu linaenda kufa
 
Unakula tatu zile za Mama Samia zenye
shabaha ati, au zile 40 halafu 16 ndio zimelenga
Pongezi kwenu CCM na walenga shabaha wenu
Hizo 40 ni za wahuni wenzenu, kwa askari ni moja tuu ugoko huna.
 
Kwa kiwango hichi cha kujiaminishia ushindi, box la kura linapoleta majibu tofauti tulivyotegemea , jee huwa tunajiliza kulikoni?
 
Hawa polisi wanafikirisha sana, hapakua na haja ya kutumia nguvu au kuwapiga wananchi mabomu, hapo wakiulizwa watasema wanalinda usalama wa Lissu dhidi ya wananchi
Wamekosea kupiga watu risasi kama kweli,lakini kwa upande mwingine usiko kama huo pengine kuna watu wana nia mbaya watajichanganya na hao watu kumbe wanamtafuta lissu wamdhuru.

Hivyo suala la kuwatawanya ndio salama zaidi kuliko luwaacha hao watu,na suala la kuwapiga mabomu ni hatari zaidi.
 
Back
Top Bottom