Hivi ni kwa nini watu wakishakuwa wengi tu linakuwa tishio kwa watawala? Yeye mwenyewe alitoa ruhusa ya watu kuzaliana kadiri wawezavyo. watu wameitikia wito wa kuzaa na tumekuwa wengi lakini sasa wingi wetu inakuwa ni tishio kwa watawala badala ya kuwa mtaji wa kura na maendeleo. Hofu ya nini?Amani wakati unasikia watu wamepigwa mabomu na risasi, hivi unajua kusoma au unaangalia picha tu?!