KAHAMA MMESHAPIGWA NA KITU KIZITO RELI KWENDA BURUNDI INAPITIA UVINZA HADI MSONGATI TAYARI HUB OF LOGISTIC INAENDA KUJIFIA KAHAMA 👇👇👇Hafla ya utiaji saini Mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa-SGR kutoka Uvinza (TANZANIA) hadi Msongati(BURUNDI) .
Hafla hii imefanyika leo 29-01-2025 Jijini-DSM.sasa INAKWENDA kuwa hivi kigoma na tabora zinaena kukua zaidi
View attachment 3225615Mara ya kwanza ilikuwa hivi ambapo kahama mlijinasibu kuwa itakuwa logistic centre na viwanda tayar MAGORI yamehama future inazidi kupotea👇👇👇
View attachment 3225616