Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

KAHAMA MMESHAPIGWA NA KITU KIZITO RELI KWENDA BURUNDI INAPITIA UVINZA HADI MSONGATI TAYARI HUB OF LOGISTIC INAENDA KUJIFIA KAHAMA 👇👇👇Hafla ya utiaji saini Mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa-SGR kutoka Uvinza (TANZANIA) hadi Msongati(BURUNDI) .

Hafla hii imefanyika leo 29-01-2025 Jijini-DSM.sasa INAKWENDA kuwa hivi kigoma na tabora zinaena kukua zaidi
SGR-Burundi-Tanzania.jpg
Mara ya kwanza ilikuwa hivi ambapo kahama mlijinasibu kuwa itakuwa logistic centre na viwanda tayar MAGORI yamehama future inazidi kupotea👇👇👇
Tanzania-Standard-Gauge-Railway-SGR.jpg
 
KAHAMA MMESHAPIGWA NA KITU KIZITO RELI KWENDA BURUNDI INAPITIA UVINZA HADI MSONGATI TAYARI HUB OF LOGISTIC INAENDA KUJIFIA KAHAMA 👇👇👇Hafla ya utiaji saini Mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa-SGR kutoka Uvinza (TANZANIA) hadi Msongati(BURUNDI) .

Hafla hii imefanyika leo 29-01-2025 Jijini-DSM.sasa INAKWENDA kuwa hivi kigoma na tabora zinaena kukua zaidi View attachment 3225615Mara ya kwanza ilikuwa hivi ambapo kahama mlijinasibu kuwa itakuwa logistic centre na viwanda tayar MAGORI yamehama future inazidi kupotea👇👇👇 View attachment 3225616
Labda wanasubiria ya Kigali
 
Makambako ni lango la Mkoa na ni Mji wa kibiashara hivyo, idara ya ardhi haina budi kuisaidia Halmashauri kupata maeneo kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda, ili kuongeza mapato ya Halmashauri na kuwawezesha wananchi kufanya uwekezaji, kwani usafirishaji wa bidhaa ni rahisi kwa usafiri wa barabara au reli.
“Maono ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe ni kuibadilisha Makambako kuwa sehemu nyingine kabisa ya uwekezaji, Makambako imechangamka na baada ya muda mfupi itabadilika na mtakuwa mnapata mapato na kuachana kukimbizana na wakulima wa nyanya wenye robo eka kukusanya ushuru,kwa sababu kuna viwanda na unakusanya kodi ya huduma ya kutosha,nina omba sana mfanye maamuzi sahihi kwa ajili ya viwanda”,alisema Mhe. Sweda.
Naye, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Makambako, Mhe. Salum Mlumbe kwa niaba ya baraza la Madiwani na watumishi amemuhakikishia Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe. Juma Sweda kuufanyia kazi ushauri aliotoa na kumkaribisha kuwatembelea kwenye Kata ili aweze kuijua Wilaya na watu anaowaongoza.
project-ngaka-power-plant-1.jpg
1738553598673.jpg
 
Back
Top Bottom