Kahama VS Njombe/Mafinga

Fedha ya serikali kuu.. au NJOMBE TC wanasimamia ujenzi!?
Unachanganya madesa mkuu huu uzi sio tu wa Njombe vs Kahama bali pia Kanda ya Ziwa vs Nyanda za juu

Hapo nilikuwa naonyesha ujenzi wa ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Songwe na sio Njombe kuna mdau Tulikuwa kwenye ligi hapo juu
 
Kuna vitu vya Isaka road jirani na FINCA na Ile Hotel mpya Tabora road sijaviona aisee
Wasukuma Wana hela sana..shida hawamwamini yeyote isipokuwa msukuma mwenzao.. toka wameanza kujenga maghorofa ... Na kuanza kupata faida kupitia mikopo ya benki.. nakuahidi miaka kumi kila sehemu itakuwa imejengwa maghorofa Kahama..

Ni kama mashine zilivyoanza... Leo wamefika mbali sana kwenye milling.. washaanza na majengo makubwa huo mfumuko unaokuja ..acha kabisa.. kuna kampuni ya Wasanifu majengo tayari inajipanga kuhamia.. maana ina mahusiano na mabenki . Wanaenda kupiga hela ndefu sana...
 
Mji mkubwa wenye hadhi ya Municipal bila kupambwa na magorofa ni sawa na Kijiji kikubwa

Khm mnatia aibu yaani hata Mafinga inawachapa when it comes to Magorofa pale mjini
 
Huyo oppotuinisty cost anayesema alinganishe Kanda ya ziwa na Nyanda za juu kusini aache ujinga.

Tunawaangalia tu tunaamua kukaa kimya halafu mnatuona wajinga
 
Huyo oppotuinisty cost anayesema alinganishe Kanda ya ziwa na Nyanda za juu kusini aache ujinga.

Tunawaangalia tu tunaamua kukaa kimya halafu mnatuona wajinga
Huna kitu tangible cha kujibu maana hiyo Kanda ya Ziwa kwa kujibu wa idara ya Takwimu inaongoza kwa umaskini

Zaidi zaidi mtaanza kuweka madaraja ya kigongo -busisi
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hapo hawagusi ila utasikia blaa blaa za sijui watu wengi sijui Michele mara Manispaa yaani ni shida tupu
Unajua kuhisi mikoa mingine imelala na mikoa fulani iko mbali saaaaanaa ni kujidanganya, kwa ufupi, watu wameendelea sana.
Nilibahatika kufika Mji mdogo tu wa Tandahimba, kwa hakika nilishngaa.
Na kwa sasa Ukanda wa Mbeya-Njombe-Songea hadi Mtwara umeunganishwa na unakuja vizuri sana.
 
Huna kitu tangible cha kujibu maana hiyo Kanda ya Ziwa kwa kujibu wa idara ya Takwimu inaongoza kwa umaskini

Zaidi zaidi mtaanza kuweka madaraja ya kigongo -busisi
Mimi hapa ni mzaliwa wa Mwanza na nyumbani ni Mwanza sasa nashangaa unavyotaka kuifananisha Mwanza na vitu vya kijinga, yani Mwanza hii hii unatka kuifananisha na vi mikoa vyenu hivyo!
 
Mimi hapa ni mzaliwa wa Mwanza na nyumbani ni Mwanza sasa nashangaa unavyotaka kuifananisha Mwanza na vitu vya kijinga, yani Mwanza hii hii unatka kuifananisha na vi mikoa vyenu hivyo!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] baki huko huko na ushamba wako
 
Huu ukanda unaanzia Mpanda-Sumbawanga-Tunduma-Mbeya-Makambako/Mafinga-Iringa,,Makambako-Njombe-Songea-Tunduru-Masasi to Mtwara yaani ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Haijui Kahama bila shaka, na hata takwimu za nchi kimapato hazitaki, bank kubwa nchini ambazo huwezi zikuta popote zaidi ya kwenye majiji na baadhi ya mikoa pia ziko Kahama, Bado hakubali, achana na mbishi huyo anasumbuliwa na wivu, Kahama Ni next level kiuchumi.
Angefanya Safari apatembelee anapaita pa wachuuzi, wachuuzi wanapanda ndege na kujenga viwanda kwa pesa zao? Wachuuzi Wana miliki migodi na BIASHARA za nchi jirani?
 
Taarifa ya makusanyo ya tamisemi ilosomwa na jafo uliisikia? Njombe ilitajwa ya ngapi?
Maana ubishi mwingine ni wivu design....kiufupi kahama Ni next level... Mimi Ni mkulima Njombe Lupembe ila Kahama huwezi fananisha na Njombe kwa mzunguko wa pesa na BIASHARA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…