Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Fedha ya serikali kuu.. au NJOMBE TC wanasimamia ujenzi!?
Unachanganya madesa mkuu huu uzi sio tu wa Njombe vs Kahama bali pia Kanda ya Ziwa vs Nyanda za juu

Hapo nilikuwa naonyesha ujenzi wa ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Songwe na sio Njombe kuna mdau Tulikuwa kwenye ligi hapo juu
 
We fikra zako ni bure kabisa..tembea nchini
Onyesha acha porojo ndio maana tunawaambia mnapiga makerere wakati hamna kitu

Hivi vitu hapa chini Kahama mtakuwa mnaviona Njombe,Mwanza,Arusha na Dar tuu
03.JPG
2133522_2018-07-03.jpg
2377469_DSCF4425.jpg
2377189_1674046_Screen-Shot-2014-07-18-at-11.52.44.jpg
2377195_EBcpp_dWkAAA22W.jpg
FB_IMG_1597653688087.jpg
maxresdefault-2.jpg
1166481_agreement.jpg
 
Kuna vitu vya Isaka road jirani na FINCA na Ile Hotel mpya Tabora road sijaviona aisee
Wasukuma Wana hela sana..shida hawamwamini yeyote isipokuwa msukuma mwenzao.. toka wameanza kujenga maghorofa ... Na kuanza kupata faida kupitia mikopo ya benki.. nakuahidi miaka kumi kila sehemu itakuwa imejengwa maghorofa Kahama..

Ni kama mashine zilivyoanza... Leo wamefika mbali sana kwenye milling.. washaanza na majengo makubwa huo mfumuko unaokuja ..acha kabisa.. kuna kampuni ya Wasanifu majengo tayari inajipanga kuhamia.. maana ina mahusiano na mabenki . Wanaenda kupiga hela ndefu sana...
 
Mji mkubwa wenye hadhi ya Municipal bila kupambwa na magorofa ni sawa na Kijiji kikubwa

Khm mnatia aibu yaani hata Mafinga inawachapa when it comes to Magorofa pale mjini
 
Huyo oppotuinisty cost anayesema alinganishe Kanda ya ziwa na Nyanda za juu kusini aache ujinga.

Tunawaangalia tu tunaamua kukaa kimya halafu mnatuona wajinga
 
Huyo oppotuinisty cost anayesema alinganishe Kanda ya ziwa na Nyanda za juu kusini aache ujinga.

Tunawaangalia tu tunaamua kukaa kimya halafu mnatuona wajinga
Huna kitu tangible cha kujibu maana hiyo Kanda ya Ziwa kwa kujibu wa idara ya Takwimu inaongoza kwa umaskini

Zaidi zaidi mtaanza kuweka madaraja ya kigongo -busisi
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hapo hawagusi ila utasikia blaa blaa za sijui watu wengi sijui Michele mara Manispaa yaani ni shida tupu
Unajua kuhisi mikoa mingine imelala na mikoa fulani iko mbali saaaaanaa ni kujidanganya, kwa ufupi, watu wameendelea sana.
Nilibahatika kufika Mji mdogo tu wa Tandahimba, kwa hakika nilishngaa.
Na kwa sasa Ukanda wa Mbeya-Njombe-Songea hadi Mtwara umeunganishwa na unakuja vizuri sana.
 
Huna kitu tangible cha kujibu maana hiyo Kanda ya Ziwa kwa kujibu wa idara ya Takwimu inaongoza kwa umaskini

Zaidi zaidi mtaanza kuweka madaraja ya kigongo -busisi
Mimi hapa ni mzaliwa wa Mwanza na nyumbani ni Mwanza sasa nashangaa unavyotaka kuifananisha Mwanza na vitu vya kijinga, yani Mwanza hii hii unatka kuifananisha na vi mikoa vyenu hivyo!
 
Mimi hapa ni mzaliwa wa Mwanza na nyumbani ni Mwanza sasa nashangaa unavyotaka kuifananisha Mwanza na vitu vya kijinga, yani Mwanza hii hii unatka kuifananisha na vi mikoa vyenu hivyo!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] baki huko huko na ushamba wako
 
Unajua kuhisi mikoa mingine imelala na mikoa fulani iko mbali saaaaanaa ni kujidanganya, kwa ufupi, watu wameendelea sana.
Nilibahatika kufika Mji mdogo tu wa Tandahimba, kwa hakika nilishngaa.
Na kwa sasa Ukanda wa Mbeya-Njombe-Songea hadi Mtwara umeunganishwa na unakuja vizuri sana.
Huu ukanda unaanzia Mpanda-Sumbawanga-Tunduma-Mbeya-Makambako/Mafinga-Iringa,,Makambako-Njombe-Songea-Tunduru-Masasi to Mtwara yaani ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Miji yote miwili nimekaa na kote nimefanya kazi kama mtaalamu mshauri urban planning and development... You are emotional...na inapimwa kwa kuona...

Uzuri ni subjective, na ili tuestablish wapi kuzuri zaidi tunategemea objectivity ya wengi inafavor wapi..

Kwa kesi ya Kahama na Njombe ukiondoa natural factor ..of which sio wananjombe are responsible for it.. Njombe ni pa hovyo kabisa..

Na ukiondoa government intervention ya juhudi za kuichangamsha kama center ya mkoa huko Njombe ni machokoroni. Niamini..

Kukusaidia keep track ya Njombe na Bariadi for the next two years.. by then you will be more mature and objective to.judge on your own..free of emotions.

NJOMBE NI PA HOVYO... NA DUNIANI KOTE HAKUNA MJI UNATEGEMEA GREEN GOLD.... MIJI INATEGEMEA UZALISHAJI VIWANDANI. UKAWE NA MJI MKUBWA KAMA KAHAMA HALAFU UTEGEMEE KILIMO UNADHANI HAYO MASHAMBA YATAKUWA MAKUBWA KIASI GANI!?

WAKE UP
Haijui Kahama bila shaka, na hata takwimu za nchi kimapato hazitaki, bank kubwa nchini ambazo huwezi zikuta popote zaidi ya kwenye majiji na baadhi ya mikoa pia ziko Kahama, Bado hakubali, achana na mbishi huyo anasumbuliwa na wivu, Kahama Ni next level kiuchumi.
Angefanya Safari apatembelee anapaita pa wachuuzi, wachuuzi wanapanda ndege na kujenga viwanda kwa pesa zao? Wachuuzi Wana miliki migodi na BIASHARA za nchi jirani?
 
Wewe labda unahangaishwa na mahaba ya kijinga ya huko kwenu,kwamba Paris kuna maskini wengi kuliko Dar huu ni utoto weka ushahidi hapa.

Pili ratio ya maskini na wenye nafuu ndio inaifanya Njombe kuwa bora kuliko Kahama kwenye kila nyanja ya social services na economic development hilo linajidhihirisha kwa ubora wa makazi ikiwemo magorofa,narudia magorofa

Tatu Kuhusu mapato Khm sio tajiri kushinda Geita au Miji mingine yenye mapato kushinda Kahama tofauti ni ubunifu wa DED na madiwani kuelekeza mapato kwenye miradi ambayo itazalisha zaidi mapato au kutoa huduma kwa umma ,hicho ndio kimemkuna Rais na si kwamba eti Kahama inajitegemea kwa mapato hilo halipo imefanya tu kama Dom wanaojenga mahoteli sijui parking nk kwa mapato ya ndani.

Hata hivyo mapato ya Njombe kuwa sasa ni around 4.5 bln ikiwa juu ya Manispaa nyingi tuu na ni Kati ya miji mi 5 yenye mapato makubwa kwa Tzn na hili limeifanya Njombe kufanya miradi kama ya kujitegemea kwa mfano kujenga vituo vya afya na shule kulingana na kipaombele,ref.ziara ya Jafo mwanzo wa January hii alivyomwaga masifa kwa Njombe.

Mara nyingi huwa nasema growth rate ya shughuli za kiuchumi kwa Kahama na Njombe ni tofauti Kahama iko kwenye maturity stage wakati huku Njombe ndio kwanza fursa zinafunguliwa ,ukiangalia mapato ya Kahama kwa miaka mingi yako around 4-6 bln wakati kwa Njombe ni from 2 bln to 4bln over the last 5 years ko Unapata picha kwamba ndani ya miaka hii mitano tutamatch au kuvuka hiyo ya Kahama just tu kama Geita ilivyowapita.

Watch out miji hii hapa,Njombe,Mafinga,Tunduma,Chalinze,Mbinga na Ifakara inakuja kwa Kasi huku Njombe tukiwa front ya hao wote niliowataja so is just a matter of time
Taarifa ya makusanyo ya tamisemi ilosomwa na jafo uliisikia? Njombe ilitajwa ya ngapi?
Maana ubishi mwingine ni wivu design....kiufupi kahama Ni next level... Mimi Ni mkulima Njombe Lupembe ila Kahama huwezi fananisha na Njombe kwa mzunguko wa pesa na BIASHARA.
 
Back
Top Bottom