Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama ingekuwa mjini si tungeona magorofa kushinda Njombe? Kahama ni kijiji kikubwa cha wachuuzi
Njombe Ina hadhi ya mkoa so hata maghorofa ya serikali Ni mengi, Kahama Ni wilaya kabla haijasemwa municipal, maghorofa binafsi yapo na nimeyaona though hayawezi lingana na Njombe, kiuchumi wa BIASHARA zenye mzunguko Kahama ni kitu kingine kabisa na itakuwa jiji sooner
 
Maghorofa mapya yanayojengwa Kahama just year end 2020 mpaka Sasa plus new petrol stations Ni more than ten, hayo yanaonekana live
 
Hahahahhahah, aseeeh ila wewe ubongo kuwa karibu na makalio kumekuathiri pakubwa mnoooo!!

Hiyo hospitali ya rufaa Mkoa wa mbeya ilibidi tuikatae kabisa (UDOM) kufanyia mazoezi baada ya mkataba kuwa na changamoto hiyo MZRH, ikabidi tutafute hospitali yenye viwango ya Mkoa tukapata singida, Yaan wewe jamaa ni mbishi na Ngumbaru kwa kiwango Cha SGR,


Afu kwa Taarifa yako ulivyotaja vyote Mwanza vipo Hiyo NIMRI Mwanza ipo, Sijui Medical College ipo CUHAS na inatoa Hadi Postgraduates, sijui hao UDSM hata wameshaanza kufikiri tu kutoa hapo Mbeya!!


Hapo MZRH ukiondoa maabara yao ambayo Kimsingi niliipenda Japo zote Zina hadhi ya 5 stars Kama BMC wanakitu gani special wanafanya ambacho hata Benjamin Mkapa hospital DODOMA wanafanya ila MZRH hawafanyi, Sizani kama kuna Cancer Wala Cardiology UNIT na za kibingwa zinafanyika hapo Sizani!! Hiyo MZRH ni Sumbawanga regional reffaral hospital yenye hadhi ya kikanda!!


Afu Kama ulikuwa hujui tu Mapanki Yana OMEGA 3 Hii ni fat muhimu Sana inapatikana kwa samaki hasa kichwani amabayo Ni muhimu Sana katika suala zima la ukuaji na kuimarisha Akili!!
 
Huo ndio ukweli mchungu
 
Wewe hivi huwa mnakula nini mnashiba kisha mnalinganisha vitu vya ajabu Katoro ni kamji kadogo kenye idadi ya watu wasiozidi 50,000,halafu pamejengwa holela bila mitaa unalinganisha na Geita ambayo kwa sasa tu idadi ya watu ni 280,000 na imeshakidhi vigezo vyote vya kuwa Manspaa bado kutangazwa tu. Hauko seroius.
Nadhan unapafahamu Katoro, panapishana kidogo sana na Geita mjini na hata Kahama
 
Yaani yeye akipita hapo barabarani hapo Katoro anadhani kuna mji wa maana. Jaribu kuingia tu barabara ya kuelekea mbogwe hapo Katoro ndio utajua Katoro ni takataka tu. Usilinganishe Kahama au Geita na hicho kijiji kilichojengwa bila plan sijui hicho kikatoro.
Mnapima story tu humu... Hatujui Kahama nyie ndio wale wa stendi guest mnaondokoa... Kahama HUIJUI ...

Unalinganisha kahama na Katoro!?
 
Nyie ni dizaini ya watu wajinga na wasio fikiri vyema la una akili finyu.

Kila Mji una kiini chake cha kukua mathalani akina Kahama na Geita kiini chao ni Migodi ya Dhahabu.

Miji mikubwa kama Joh'barg kiini ni diamond,Dar kiini ni bandari the same to Mombasa and the list goes on

Kwa hiyo hata kwa Njombe kiini chake ni agriculture and forestry industries then hizi sekta zinachochea uanzishwaji wa sekta zingine kadiri Mji unavyo mature.Unaongea as if mashamba and the likes yako Mjini huu ni utoto.

Ulivyokuwepo poyoyo sijui unadhani Njombe hakuna maduka au viwanda kama huko Khm au? Njombe kuna Hadi kiwanda cha kutengeneza lami kwa Mazao ya miti.Njombe imestaarabika toka enzi Khm ni Kijiji tangu wazungu wameanzisha mashamba ya chai,miti na taasisi za elimu na afya since long time .Njombe imekuwa na umeme wa maji miaka mingi kabla ya hicho Kijiji chenu cha wachuuzi cha Kahama.

Ndio maana your life there is shangalabaghala kuanzia settlement patterns and arrangement Hadi quality of life in general..Nimewawekea baadhi ya majengo hapo muoneshe kama hayo huko Kijiji kikubwa cha Khm yet mnaleta blaa blaa.

Narudia KKKT Usharika wa Njombe na Dayosisi ya Kusini wanajenga Hotel hii hapa chini,hicho Kijiji chenu kitaendelea kuona mapicha picha tuu
 
Njombe bado sana. Hata mpige promo usiku na mchana mnajisumbua tu
 
Sasa mkuu, Hutu tumajengo, ndio unataka kucompare na Geita/Mara Regional Reffaral Hospital kweli!??
Kwani umeona majengo yamekamilika? Weka majengo ya hospital ya Geita hapa, Hospital ya Mara ina zaidi ya miaka 40 inajengwa since Nyerere era wakati hayo hapo ya Songwe na Njombe ni miaka 5 iliyopita
 
Acha kula mapanki na michembe ndugu ndio maana unakuwa na makalio makubwa na outdated mind set ,Ujue nyie watu wa huko Kanda pendwa na Magu mnamapungufu kwenye ngozi zenu na miili màana albino huko,watu wanoongoza magonjwa ya miguu na akili ni huko,kula parachichi na matunda kwa wingi kwa afya ya ubongo wako na mwili.

Back kwenye hoja,lengo la serikali ni kuzifanya hospital za Rufaa za Kanda kutoa huduma za kibingwa ndio maana ilianza na Muhimbili,UDom,Mlonganzila,Bugando,Mbeya na KCMC ko hatua kwa hatua vyote vitakuwepo ndio maana unaona upanuzi wa majengo unaendelea.

NIMR ya Mbeya ni maalumu Sana kwa ajili ya kuspecialise kwenye magonjwa ya mlipuko na iliwekwa hapa specifically kwa kazi hiyo ikizingatiwa huku ni mpakani.

Kwa taarifa yako mwaka Jana yamefanyika mahafari ya kwanza ya MD Kwa Faculty ya science ya Tiba ya UDSM Campus ya Rufaa Mbeya,kutokujua kwako ni shida yako sio yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…