Hahahahhahah, aseeeh ila wewe ubongo kuwa karibu na makalio kumekuathiri pakubwa mnoooo!!
Hiyo hospitali ya rufaa Mkoa wa mbeya ilibidi tuikatae kabisa (UDOM) kufanyia mazoezi baada ya mkataba kuwa na changamoto hiyo MZRH, ikabidi tutafute hospitali yenye viwango ya Mkoa tukapata singida, Yaan wewe jamaa ni mbishi na Ngumbaru kwa kiwango Cha SGR,
Afu kwa Taarifa yako ulivyotaja vyote Mwanza vipo Hiyo NIMRI Mwanza ipo, Sijui Medical College ipo CUHAS na inatoa Hadi Postgraduates, sijui hao UDSM hata wameshaanza kufikiri tu kutoa hapo Mbeya!!
Hapo MZRH ukiondoa maabara yao ambayo Kimsingi niliipenda Japo zote Zina hadhi ya 5 stars Kama BMC wanakitu gani special wanafanya ambacho hata Benjamin Mkapa hospital DODOMA wanafanya ila MZRH hawafanyi, Sizani kama kuna Cancer Wala Cardiology UNIT na za kibingwa zinafanyika hapo Sizani!! Hiyo MZRH ni Sumbawanga regional reffaral hospital yenye hadhi ya kikanda!!
Afu Kama ulikuwa hujui tu Mapanki Yana OMEGA 3 Hii ni fat muhimu Sana inapatikana kwa samaki hasa kichwani amabayo Ni muhimu Sana katika suala zima la ukuaji na kuimarisha Akili!!