Kahama VS Njombe/Mafinga

Mhhhh. Wewe nawe sasa unaboa. Matajiri wa Kahama wote maisha yao ya kumalizia ni Mwanza jiji. Nani ataenda malizia maisha yake kwenye mji kame hauna beach kama Kahama. Hauko serious.
Mimi ni mzawa Mwanza na Mwanza ndio home, nimefanya kazi Kahama, Kagera (Karagwe/Missenyi/Kyerwa/Bukoba/Ngara/ Muleba) Arusha na Dar all in all sehemu ya kumalizia maisha bado ni Kahama.
 
Njombe hii ambayo mabinti zake wanamiminija Dar kutafuta uhouse girl ndio imestaarabika? Hauko serious
Dar ni uwanja wa fujo kila mtu atamiminika huko ukiwamo wewe na ndugu zako sio swala la mabinti wa Njombe tuu
 
Maghorofa mapya yanayojengwa Kahama just year end 2020 mpaka Sasa plus new petrol stations Ni more than ten, hayo yanaonekana live
Onyesha hayo mapya acha porojo wewe au yanajengwa mdomoni kwako? Wapi hakuna mapya? Hii ni 2021 wewe unaleta empty words hapa.

Weka picha za Khm wacha maneno,si ajabu hata Tunduma inaizidi Khm kwa mijengo mikali,week end I will be travelling to Tunduma nitakuja na picha kama zote

Hiyo hapo juu Hotel ya KKKT Njombe inajengwa mjini Kati ya Khm iko wapi,?
 
Huko kufikia nchi jirani ndio potential ya Kahama ambayo Njombe Hana,so usibeze... Nchi zinazopita hapo si haba yaani.
Sijabeza ila promo haiakisi uhalisia,

Chai ya Njombe inawika Hadi Pakistani,Parachichi ya Njombe iko kwenye supermarket za Ulaya,Mbao za Njombe na Mafinga zimejaa nchi zote za jirani,nk nk potential ipi ambayo hatuna?

Wafanyabiashara wa Mkoa huu Wana viwanda Hadi China ukiacha huko kwenu Khm
 
Huwezi linganisha Kasulu na Kahama unless una chuki zako binafsi
Zote ni Halmashauri za miji kabla ya tamko la juzi la mkuu wa kaya.

Miji yote ina idadi kubwa Sana ya watu labda utofauti ni kwenye mapato nk ila sikufahamu Kasulu na haizungumzwi Sana but wa huko wanasema Mji unakua Sana pia
 
Itakuwa jiji sooner,haaaa haaaa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] aya bwana.

Kubali tuu kwamba Mkoa wa Njombe una watu wenye pesa sio tu wanajenga Njombe yao bali Dar,Mbeya,Iringa,Songea etc kote huko watu wa Njombe wameikuza hiyo miji na biashara
 
Sijawahi sema kwamba Njombe ina mapato makubwa kushinda Kahama ila nilisema Njombe inakuja kwa Kasi Sana no matter itakuja kuifikia Kahama.

Hata hivyo ukija kwenye mapato ya TRA Mkoa wa Njombe as a whole unafanya vizuri kuliko Kahama tax region as per TRA but kwa Khm town kuwa tax region ni wazi ina nguvu ya mapato na mzunguko wa pesa na mkubwa.
 
Kuna siku nimewahi bisha hayo unayoongea? Hoja yangu mara zote ni kwa nini kama mko vizuri hamuoneshi hiyo nguvu kwenye majengo makubwa ya kupamba Mji? Kwa nini Kanda hiyo inaongoza kwa umaskini?

Jibu ni kwamba mnachozalisha hakiloingani na mahitaji yenu na mna vihela vya mboga tuu unlike Njombe ambako uzalishaji ni mkubwa kuliko mahitaji na huku kuna enterprises za kumfanya mtu kuwa tajiri

Ni ngumu ukachuuza duka la mangi ukatoboa badala yake miti itakufanya utoboe,parachichi ekari 3 tuu zitakufanya utoboe na mambo mengine kama hayo.

Lakini pia ikumbukwe kwamba Kahama iko barabara kuu ya kwenda nchi za jirani ko ilikuwa kibiashara kama transit town tofauti na Njombe.Pindi miundombinu ya kuunganisha mkoa wa Morogoro na Mbeya na Mbamba Bay ikikamilika itafanya Njombe kuwa junction town ambapo itaongeza muingiliano na kuleta mzunguko wa pesa zaidi ya sasa ko ni suala la kusubiria ndani ya miaka hii 5.

By the way Njombe ilikuwa na mapato 2bln lakini kwa sasa average ni 4 bln tofauti na Khm imedumu kwenye 5-6 bln kwa mda mrefu Sana Hadi imepitwa na Geita sasa hivi
 
Haya, Katoro ni padogo na Kahama ni pakubwa, then what next?
Mji wenye nyumba nyingi za kuishi za makazi, hauna mitaa mikubwa haina chochote cha kutisha ukiondoa makazi. Tunasubiri picha za Khm vs Njombe ambazo wa Njombe kazituma baadhi.
 
Hapo huwezi waona ,hao maskini wataonesha nini zaidi ya blaa blaa tuu

That town is just a big village of squatters nothing to show
Unajua walio wengi, wanafikiri ule uchuuzi na vurumai za wachuuzi ndiyo hadhi ya mji bora. Pia zile nyumba za mapaa marefu zilizotapakaa pale Khm wanafikiri ndiyo mji. Mji unakua na mipangilio, kuna maeneo ya makazi, kuna CBD na kuna maeneo ya wachuuzi. Ukiondoa wageni waliokuja na kujenga nyumba za kuishi, Kahama sijaona ukiwa na hadhi ya mji(nazumgumzia urban proper), hata hakuna hicho kitu. Idadi ya watu, kweli ni kubwa lakini kwa hadhi ya mji(achana na makazi), Khm hamna kitu
 
Tena zipo taarifa moja ya wabia wa Beforward ni mdau Mkinga kutoka Makambako/Njombe,huko Ghuonzhou ndo usiseme. Pale Kariakoo, matajir wengi wanatoka Njombe!
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Huwezi kuta ujinga wa hivyo mjini Njombe huku kuna order
 
Yaan ,wewe Ni Ngumbaru, Yaan Ndio Kwanza wamegraduate mwaka jana!! Ndio I we hoja Hapa!! Unajua Programmes zinazotolewa CUHAS na Intake ya Kwanza imegraduate lini!??


Sasa nyie Endeleeni kuzalisha yatima kisa HIV, kwa kutombana bila mpango!!
 
Watu wa kusini na nyanda za juu kusini njoon bukoba vijijini mjifunze jinsi ya kujenga vijijini.

Mkisikia wahaya wanapenda sifa sifa ndo hiz na zinawasaidia Sana.



Ona wahaya wanavyojenga vijijini kwao.


Nyumba hata mbeya mjini unazitafuta kwa tochi
 
Sasa Kahama ndio hiyo imekuwa Manspaa. Kwa hiyo tunasubiri mwaka ambao Njombe nayo itakuwa Manspaa. Zaidi ya hapo ni kujilisha upepo tu
 
imepandishwa kwa sababu mkurugenzi alimfurahisha boss wake na sio kua inavigezo kuizidi Njombe,Njombe is well organised than kahama
Kahama kuwa Manispaa limeongelewa tokea 2019. Sasa huyo Mkurugenzi kamfurahisha lini namba 1?
 
Kahama kuwa Manispaa limeongelewa tokea 2019. Sasa huyo Mkurugenzi kamfurahisha lini namba 1?
kwa kauli yake Rais Mwenyewe alisema mkurugenzi kamfurahisha na hivyo anawapa zawadi ya kuwapandisha kua Manspaa.Nikukumbushe kua Njombe ni moja ya miji iliyoomba kupandishwa hadhi kua Manspaa labda bado haijapa mtu wa kumfurahisha boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…